.

πŸ‘‰ Kuna fikra kuwa Albino ni watu wa kawaida je, kisayansi hii ni kweli?πŸ‘‡βœ”

IMG_20170703_131021.jpg

Imehaririwa na; Melkisedeck Leon Shine. Tarehe 01 Feb 2016 13:55. [Legal & Authority]


Kuna fikra kuwa Albino ni watu wa kawaida je, kisayansi hii ni kweli?

Hii ni kweli kabisa. Watu wanaoishi na ualbino ni watu wa
kawaida kama binadamu wengine wote na wanaweza kuwa
wa aina tofauti kama binadamu wengine. Wanaweza kuwa
wadogo au warefu, wanene au wembamba, warembo au wasio
warembo, wenye vipaji au wa wastani. Wanaweza kuwa na
uthubutu au wenye aibu, wachangamfu au jeuri, wenye tabia ya
ushirikiano au wenye tabia ya uhasama.
Kumbuka kuwa utofauti wao upo tu kwenye muonekano wa ukosefu
wa rangi kwenye ngozi, nywele na macho. Wakati umefika kwa
jamii kujifunza kuwakubali Albino kama binadamu wengine, wenye
hisia, mahitaji, uwezo na wanastahili haki zote za binadamu kama
alivyo mtu mwingine yoyote.

Soma%20Zaidi.gif Napendekeza uendelee kusoma kuhusu; Jinsi ya kulima mahindi kitaalamu kama inavyotakiwa.

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰Usisahau kushare posti hii kuhusu (Kuna fikra kuwa Albino ni watu wa kawaida je, kisayansi hii ni kweli?).πŸ‘ Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasomeπŸ’―βœ”

Nini maoni yako kuhusu, Kuna fikra kuwa Albino ni watu wa kawaida je, kisayansi hii ni kweli?? Niandikie hapa
Add a New Comment
or Sign in as Wikidot user
(will not be published)
- +
Kichekesho%20Kipya Namna ya Kukutana na Rafiki mliopotezana Unaweza kukuta na yeye anakutafuta
πŸ‘‰SOMA ZAIDI HAPA...Kizuri

IMG_20180109_192035.jpg

Ujumbe wangu kwako kwa sasa

"Kushindwa jambo sio Makosa, bali kuacha kufanya jambo kabisa ni makosa makubwa."

kj.gif

.

.

b.gif

Mimi ni Melkisedeck Shine Mmiliki, Mwandishi /Mhariri. Karibu tena kila siku.

MAWASILIANO | KUHUSU MWANDISHI

Blog nyingine maarufu ndani ya AckySHINE.com

| Vichekesho | Videos | Picha | Ujasiriamali | Mahusiano | Kilimo & Mifugo | Katoliki | Afya & Mapishi | Hadithi | Misemo | SMS