Kichekesho%20Kipya Usikose 📕Kitabu cha Vichekesho Vikuu Vikali 300+✔ Kina kurasa 270 zenye picha📷 na vichekesh😂 zaidi ya 300💨
👉Bofya hapa KuchukuaKizuri

.

👉 KUFUNGA NA KUOMBA KUNAKOONGEA MBELE ZA MUNGU

UTANGULIZI

Kufunga na kuomba kunakoongea ni kufunga na kuomba kunakotoa sauti inayopenya hadi kitini pa Mungu na kuleta mabadilko ya kudumu katika ulimwengu wa mwili. Tunaweza kusema Kufunga na kuomba kunakoongea ni atomic bomb katika ulimwengu wa rohok kwa sababu hutoa matokeo makubwa bila kumuumiza anayetumia silaha hiyo.

Mifano ya watu waliojihusisha na kufunga na kuomba kunakoongea ni:

1. Yesu Kristo
2. Yohana Mbatizaji
3. Daniel
4. Ester nk.

NB: Kufunga na kuomba ni kanuni ya ulimwengu war oho (uwe wa nuru au giza) wa kuhuisha nguvu za kiroho ili kufanya jambo lililokusudiwa.

Tafuta%20marafiki

AINA ZA KUFUNGA.

Zipo aina tano ( 5 ) za kufunga.

1. TOTAL FAST (FUNGA KAVU).

a. Absolute fasting (Funga iliyo sahihi) Hii ni funga ya kutokula chakula kabisa wala kunya maji kwa siku zisizo zidi tatu (3) kama (Esta 4:16).
b. Supernatural Fasting (Funga ya Kiungu).Funga ya kutokula chakula kabisa wala kunywa maji kwa siku zaidi ya tatu (3) kama Musa (Kumb.9:9 & 9:18) kwa siku 40.

2. PARTIAL FASTING (FUNGA NUSU)

a. Yohana Mbatizaji aliamua kufunga maisha yake yote akila asali na Nzige tu. Dan. 10:2-3 Kuacha kula aina maalumu ya vyakula ambavyo ungevipenda.
b. Funga ya milo miwili au mmoja kwa siku.
c. Funga ya kawaida (Normal fasting).Kunya maji tu.

3. FUNGA YA KULAZIMISHWA (IMPOSED FAST).

Matendo 28:1 Safari ya Paulo akielekea Rumi.Kwasababu ya misukosuko ya mawimbi majini watu wanashindwa kula.Pia kama mtu anaumwa unakosa hamu ya chakula.Mala nyingine tunapata misukosuko kama sehemu ya Maisha kiroho pia.

4. FUNGA YA WAZI/KANISA, HADHARA AU TAIFA. (PUBLIC AND NATIONAL/CHURCH FASTS).

Hii inakuwa funga ambayo inatangazwa na inakuwa wazi kwa kila mtu.Sio za siri.Yona 3:6.
5. Funga ya mtu binafsi
Hii hufanywa na mtu mmoja kwa siri na mungu wake hapana anayejua mtu huyo kama amefunga.

Tafuta%20marafiki

SIFA 7 ZA KUFUNGA NA KUOMBA KUNAKOONGEA

1. Huongozwa na roho wa Mungu Marko 1:12-14, Yesu aliongzwa na roho kufunga nyikani ndio maana hakutenda dhambi katika kufunga na kuomba kwake.
2. Lazima iwe katika kweli ya Mungu. Kama funga na kuomba huko hakuko katika roho hakuwezi kuwa katika kweli kwa kuwa roho wa mungu hatenganishwi na kweli ya Mungu. 2samwel12:16-17 Daudi alijaribu kufunga na kuomba ili motto aliyezaliwa katika zinaa asife hakufanikiwa kwa kuwa Mungu tayari alisema atakufa hakika. Hata alipokuwa ameshakufa daudi aliendelea kufunga hii inadhihirisha kuwa hakuwa rohoni kwa sababu alijua anachoomba siyo mapenzi ya Mungu. Angekuwa rohoni roho angemjulisha aache kuomba kwa kuwa Mungu amekataa.
3. Lazima uwe mtu wa Mungu uliyeitwa kwa jina lake 1cronicles (nyakati)7:14a Hapa tunaona Mungu anadhirisha kuwa si kila mtu wa Mungu ameitwa kwa jina lake. Aliyeitwa kwa jina lake ni Yule aliyezaliwa mara ya pili katika roho mtakatifu (soma yohana 1:11-13)
4. Lazima funga ifanywe katika unyenyekevu wa hali ya juu wa rohoni. Mtu anayefunga kwa kiburi cha uzima hawezi kupata matokeo yaliyokusudiwa. Mfano unafunga ili ujilipizie hasira yako kwa mtu anayekudharau au kutesa, unataka kushindana na wengine, unataka kuonesha kwamba wewe ni mwamba kanisani kwenu nk.
Soma isaya 58:3-4) “Husema mbona tumefunga lakini huoni, mbona tumejitaabisha nafsi zetu lakini huangalii? Fahamuni siku ya kufunga kwenu mnatafuta anasa zenu wenyewe, na kuwalemea wote watendao kazi kwenu, Tazama ninyi mwafunga mpate kushindana, kugombana na kupiga ngumi ya uovu”
5. Lazima ifanywe katika furaha ya roho mtakatifu na siyo kwa kujilazimisha na kunung’unika
Ukifunga kama andiko la isaya 58:3 inavyosema (mbona tumefunga lakini huoni, mbona tumejitaabisha nafsi zetu lakini huangalii? Hutapata matokeo yaliyokusudiwa. Badala yake fanya funga na maombi yaliyojaa furaha ya roho mtakatifu.Mathayo 6:16-18 “tena mfungapo msiwe kama wanafiki, wenye uso wa kukunjamana, maana hujiumbua nyuso zao ili waonekane na watu kuwa wanafunga, amini nawaambia wamekwishakupata thawabu yao. Bali wewe ufungapio jipake mafuta kichwani, unawe uso ili usionekane na watu kuwa unafunga, ila na baba yako aliye sirini na baba yako aonaye sirini atakujazi” linganisha andiko hilo na isaya 58:5
6. Lazima kufunga kuambatane na kuomba na kuutafuta uso wa bwana 2nyakati 7:14,
7. Lazima kufunga na kuomba kufuate kanuni ya upendo na si ubinafsi. Yaani kumpenda Mungu na jirani kama nafsi yako mwenyewe.
Matendo ya upendo kwa mungu na watu ni kama
1. hicho ambacho ungekula mpe Yesu ale. Unadhani Yesu anapatikana kanisani? Hapana, msikie mwenyewe anapatikana wapi katika mathayo 25:34-40 “Kisha mfalme akawaambia wale walioko mkono wake wa kuume, njooni mliobarikiwa na baba yangu, urithini ufalme muliowekewa tayari tangu kuwekwa misingi ya ulimwengu kwa maana nalikuwa na njaa mkanipa chakula, nalikuwa na kiu mkaninywesha, nalikuwa mgeni mkanikaribisha, nalikuwa uchi mkanivika, nalikuwa mgonjwa mkaja kunitazama, nalikuwa kifungoni mkanijia………………………………………amini nawaambia yoyote mliyowatendea mmojawapo ya hao ndugu zangu walio wadogo mlinitendea mimi”
NB Linganisha andiko hilo na isaya 58:6a, 7 je swaumu niliyoichagua mimi siyo ya namna hii?…………….je siyo kuwagawia wenye njaa chakula chako na kuwaleta maskini waliotupwa nje nyumbani mwako? Umwonapo mtu aliye uchi umvike nguo, wala usijifiche na mtu mwenye damu moja nawe”
2. Ombea watu wengine kama familia, jamii yako, familia na taifa kwa nguvu ileile unayotumia kuombea mahitaji yako binafsi. Isaya 58:6, 2 samweli 22: 25-26. “ kwa mtu mwenye fadhili utakuwa mwenye fadhili, kwa mkamilifu utajionyesha kuwa mkamilifu, kwake ajitakasaye utajionyesha kuwa mtakatifu na kwa mpotovu utajionyesha kuwa mkaidi” soma pia nehemia 1:1-11 jinsi Nehemia alivyolia na kutubu kwa habari ya mabaya yaliyoipata Israel na Yeusalem hakujali kuwa alikuwa mahali salama. Danieli 9 ona jinsi alivyolia kwa Mungu kwa habari ya wayahudi hata kama yeye mwenyewe alikuwa ikulu akiheshimika sana. Au Ester ambaye alikuwa mke wa mfalme Ahusueoro angeweza kubaki alivyo lakini alifunga na kupomba kwa ajili ya ndugu zake
SABABU /FAIDA 12 ZA KUFUNGA NA KUOMBA KATIKA KANISA (MTU AU USHIRIKA)
1. Tunafunga kuonyesha utii kwa neno la Mungu (Yoeli 2:12)
Biblia kuanzia agano la kale hadi agano jipya inaonyesha umuhimu wa kufunga. Watumishi wote wa Mungu walikuwa wanafunga katika siku za maisha yao hivyo unavyofunga unaonyesha utii katika kulifuata neno la Mungu na kuliamini. Yesu Pia alisema kuwa siku zinakuja ambapo tutalazimika kufunga. (Mathayo 9:15)
2. Tunafunga ili kujinyenyekeza mbele za Mungu na kupata nguvu na neema yake. Tunahitaji neema ya Mungu siku zote ili tuweze kuishi, na ili kuipata inatubidi kujinyenyekeza chini ya mkono wake ulio hodari, Ebrania 4:16, Yakobo 4:10. Ezra aliwaamuru watu wafunge ili wapate kujinyenyekeza mbele za Mungu na kupata neema yake kwa ajili ya taifa lao, Ezra 8:21.
3. Tunafunga ili kuomba rehema
Yesu alichukua dhambi zetu zote msalabani, inawezekana kuna jambo unaona unashindwa kuacha na umejaribu sana. Hapo unatakiwa kufunga na kuomba rehema ili Mungu akuwezeshe kushinda. Pia unafunga kuomba rehema kwa ajili ya wengine mfano familia, jamaa na taifa pia. Daniel alifunga na kuomba rehema kwa ajili ya dhambi za taifa la Israeli na kubeba uovu wao mbele za Mungu. Danieli 9:3-5. Taifa la Ninawi walifunga na kuomba rehema kwa Mungu kutokana na uovu wao. Yona 3:5-10
4. Tunafunga ili katika udhaifu wetu Nguvu ya Mungu ionekane
Unapofunga unakuwa umeikana nafsi na kumchagua Mungu, uankuwa umedhamiria moyoni kutaka kuona nguvu ya Mungu ikionekana na sio nguvu yako. Zaburi 109:24-28, 2Korintho 12:9-10
5. Tunafunga kupata msaada wa Mungu katika kukamilisha kusudi lake
Viongozi wa kanisa la Antiokia walifunga na kuomba kabla ya kuwatuma Paulo na Barnabas. Walifanya hivi ili waweze fanya uchaguzi sahihi chini ya uongozi wa Mungu. Na Paulo na Barnabas walikuwa wakifanya hivyo katika miji waliyotembelea kila walipokuwa wanataka kuchagua viongozi. Kutokana na jambo hili makanisa yale yalizidi kusonga mbele maana walimshirikisha Mungu kwa kufunga katika maamuzi yao yote. Matendo 13:3-4, 14:23
6. Tunafunga wakati wa taabu
Mordekai na Esta walitangaza kufunga kwa wayahudi wote pale ilipofahamika kuwa kuna mpango wa kuwateketeza wayahudi wote, na kupitia kufunga na kuomba huku wayahudi walisalimika. Ester 4:15-16. Wakati wa taabu ni wakati wa kufunga na kumlilia Mungu na hakika Mungu ataonekana. Mfalme Yehoshafati pia alitangaza kufunga pale walipokuwa wamevamiwa na maadui wengi na wao hawakuwa na uwezo wa kupigana nao. 2Nyakati 20. Tumeona kwa uchache jinsi kufunga kulivyo muhimu katika maisha yetu ya kila siku.
7. Kufunga hunoa Imani (ili iwe kali) na huongeza ujasiri.
Esta 4:16.Huyu mama asingefunga alikuwa hana ujasiri wala imani ya kuingia kwa mfalme kinyume cha sheria – kwasababu adhabu yake ilikuwa ni kifo.Ndio maana aliomba wayahudi wote walio kuwa shushani wambebe kwa maombi.
8. Kufunga huleta unyenyekevu mbele za Mungu. Luka 14:11 & 18:14 Ezra 8:21.Mungu huwapa wanyenye kevu neema,na kuwainua.(1Petro5:5-6).Ukitaka kuwa mnyenyekevu mbele za Mungu basi jifunze kuwa mfungaji.
9. Kufunga huongeza/huleta nguvu ya Maombi na kuondoa ukame wa kiroho.Zaburi 35:13 Kufunga ni kama 4WD ya maombi.ISAYA 40:31 na Mithali 20:13.
10. Kufunga hufanya ulimwengu wa roho uwe wazi.
Daniel 10:14.Baada ya Danieli kufunga siku 21 alianza kuonyeshwa na Mungu mambo ya siku za mwisho za dunia ambako hata
11. Kukuza kanisa na huduma ya Mungu
a. Hili tendo lililofanywa sana na mitume na wafuasi wao.Act 14:22.Kukua kwa Kanisa la kwanza kulitegemea Maombi ya kufunga.
b. Ushuhuda wa Paulo kuhusu maisha yake.Akafanikiwa sana kwa sababu ya maombi ya kufunga.2Koritho 6:4-6.
12. Kutiisha miili yetu ipate kumtii Kristo. Miili yetu siku zote hupingana na Roho Mtakatifu.Galatia 5:16-17.nia ya Mwilini uadui dhidi ya Mungu Rumi 8:7-8 hivyo inabidi tuiitiishe kwa kufunga 1Kor.9:27.

Tafuta%20marafiki

🙉🙉🙉Usisahau kushare posti hii kuhusu; KUFUNGA NA KUOMBA KUNAKOONGEA MBELE ZA MUNGU.💯✔ Share facebook, twitter n.k bila kusahau WhatsApp, share wengine nao wafaidike!👍

Usikubali kupitwa na 📕Kitabu cha Vichekesho Vikuu Vikali 300+✔. Kina kurasa 270 zenye picha📷 na vichekesh😂 zaidi ya 300💨. 👉Bofya hapa Kuchukua👈

🐼 Endelea kusoma kuhusu;-🙉

.

Kichekesho%20Kipya Usikose 📕Kitabu cha Vichekesho Vikuu Vikali 300+✔ Kina kurasa 270 zenye picha📷 na vichekesh😂 zaidi ya 300💨👉Bofya hapa KuchukuaKizuri

.

Kichekesho%20Kipya Usikose 📕Kitabu cha SIRI ZA MWANAMKE👧👗👠 Kinamwelezea🔎Mwanamke🔍 kinagaubaga✔👉Bofya hapa KuchukuaKizuri

.

Kichekesho%20Kipya Usikose 📕Kitabu cha Mbinu za Kilimo Bora Cha Mboga🌿🍅 Kina kurasa 100 na utaalamu wa mazao zaidi ya 10👉Bofya hapa KuchukuaKizuri

.

📰 Posti nyingine👇

📌 Ujumbe wa leo kwa mtu anayetaka kufanikiwa katika maisha kiuchumi

Kila mtu aliyefanikiwa ukifuatilia historia yake pengine unaweza kukata tamaa kabisa Na kusema mimi hii njia siiwez…..inaendelea....

👋soma zaidi kuhusu👉Ujumbe wa leo kwa mtu anayetaka kufanikiwa katika maisha kiuchumi

📌 Je, kwako Kukoje?

FACT!
1.Ukiona geto lina feni, sabufa, meza ya plastic na kitanda ch sita kwa sita na Pc UJUE ni jamaa wa UDSM…..inaendelea....

👋soma zaidi kuhusu👉Je, kwako Kukoje?

📌 Angalia huyu mwalimu alichokifanya

*Mwalimu aliingia darasani akiwa amechoka kinoma
akawambia wanafunzi. 'leo tutajifunza kipindi cha
dini " wanafunzi wakiwa wanajiandaa ili kuendelea
na kipindi mwalimu akajiegesha kwenye kiti klichokua
karibuu yake baada ya dakika kadhaa mwalimu alipitiwa
na usingizi, ghafla alingia mkurugenzi na
kusimama pembeni mwa kile kiti alichokalia mwalimu
ghafla kmya kikatawala darasani kiasi cha kunfanya
mwalimu ashtuke usingizini aliamka huku akipiga
miayo alpotupa jicho pembeni alimuona mkurugenzi
kasimama pemben! akiwa anababaika alifungua
kinywa na kusema ' Hivi ndivyo walivyolala wanafunzi
wa YESU walipokua wakimsubli kule mlimani, je
kuna mwenye swal? mkurugeni pale alipokua
akapiga makofi na kumsifia mwalimu kwa kufundisha
kwa vitendo…..inaendelea....

👋soma zaidi kuhusu👉Angalia huyu mwalimu alichokifanya

📌 Mambo muhimu kuyajua katika maisha

1- chumvi ikizidi kwenye wali weka kiazi mviringo kati kati kikiwa kimemenywa chumvi itapungua….inaendelea....

👋soma zaidi kuhusu👉Mambo muhimu kuyajua katika maisha

📌 Biblia inasema nini kuhusu mume mwema

Mume mwema ni yule anayeheshimu nafasi ya Mungu katika maisha yake, anayemcha Mungu na kuepukana na uovu wa kila aina. Anatambua kwamba Mungu ndiye anayepaswa kuongoza maisha yake na si vinginevyo…..inaendelea....

👋soma zaidi kuhusu👉Biblia inasema nini kuhusu mume mwema

📌 Jinsi ya kupika Biskuti Za Njugu/Matunda Makavu (Rock Cakes)

Unga 4 Vikombe

Sukari 10 Ounce

Siagi 10 Ounce

Mdalasini ya unga 2 vijiko vya chai

Matunda makavu/njugu (kama lozi,
Zabibu, maganda ya chungwa,
Cherries na kadhalika 4 ounce

Maziwa ya maji 4 Vijiko vya supu….inaendelea....

👋soma zaidi kuhusu👉Jinsi ya kupika Biskuti Za Njugu/Matunda Makavu (Rock Cakes)

📌 Kuwa na kawaida ya kujiwekea Akiba ni njia na Siri ya kuwa tajiri

Watu wengi wanajiuliza, “Siri ya utajiri ni nini?”
Je ni mbinu gani zinaweza kumsaidia mtu kupata utajiri?
Siri kubwaya utajiri ni kujifunza elimu ya namna ya kutafuta mtaji, kuwekeza kwa busara kwa namna ambayo daima panakuwa naziada na faida…..inaendelea....

👋soma zaidi kuhusu👉Kuwa na kawaida ya kujiwekea Akiba ni njia na Siri ya kuwa tajiri

📌 Angalia sababu ya mke Mtarajiwa kuzimia kabla ya harusi

*Jihadharini* na wachapaji wa kadi za harusi. Hakikisha unasoma maandishi yaliyochapwa kabla ya kadi kuchapwa na kusambazwa!
Mchapaji aliombwa aweke 1 Yohana 4:18 katika kadi ya harusi lakini mchapaji kwa makosa aliweka Yohana 4:18…..inaendelea....

👋soma zaidi kuhusu👉Angalia sababu ya mke Mtarajiwa kuzimia kabla ya harusi

.

📓 Posti za sasa👇

A mama anayenyonyesha mtoto anaweza kupata mimba

Katika miezi sita ya mwanzo baada ya kujifungua, mwanamke anayenyonyesha mtoto anapata kinga ya mimba kwa asilimia kubwa. Lakini i i inabidi mama anyonyeshe mtoto kwa kipindi kirefu (muda wote mtoto awe ananyonya maziwa ya mama tu na anyonye kila anapohitaji) na vilevile mama awe hajaanza kupata hedhi yake. Kama mama ameanza kupata hedhi yake au kama anampa mtoto chakula kingine, anaweza kupata mimba tena. Kwa hivyo, anashauriwa kutumia njia za kupanga uzazi i i ili kuzuia mimba za mfululizo…..inaendelea....

👋soma zaidi kuhusu👉mama anayenyonyesha mtoto anaweza kupata mimba

A Katika tendo la kujamiiana kati ya mwanaume na mwanamke, yupi anayepata starehe zaidi?

Siyo rahisi kusema ni nani anayestarehe zaidi ya mwenziwe, kwa sababu starehe inayotokana na mwanamke na mwanaume kufanya mapenzi inategemea na watu wote wawili wanaoshiriki katika tendo hili.
La msingi katika kujamii ana ni kwa mwanaume kumstarehesha mwanamke kadiri ya uwezo wake na kwa mwanamke kumstarehesha mwanaume kadiri i i inavyowezekana. Kama wote wawili wanajitahidi kuburudishana, wote wawili watapata raha sana.
Zamani, wanaume wengi walifikiri kwamba mwanamke ndiyo pekee mwenye wajibu wa kumstarehesha mwanaume, na kilichotokea mara nyingi ni kwamba mwanamke hakupata starehe wakati wa kujamii ana. Mawazo kama haya ni potofu na yamepitwa na wakati kwa sababu wanaume wameanza kuona kwamba kujamii ana kuna starehesha zaidi kwa wote wawili kama wote wawili wanajitahidi kuburudishana…..inaendelea....

👋soma zaidi kuhusu👉Katika tendo la kujamiiana kati ya mwanaume na mwanamke, yupi anayepata starehe zaidi?

A Je, unaweza kufa kutokana na kuvuta sigara na kunywa pombe?

Ndiyo. Unaweza kufa kutokana na kuvuta sigara au kunywa
pombe. Lakini pale tu utakapozidisha. Kama utavuta idadi kubwa
ya sigara unaweza kupata kwa wingi sumu, iitwayo nikotini iliyo
katika tumbaku. Hii inaweza kusababisha kifo cha ghafla. Hii
huwatokea hasa watu ambao wana magonjwa ya moyo. Uvutaji
sigara kwa wingi na kwa kipindi kirefu unaweza kusababisha
kifo kutokana na saratani.
Pombe inaweza kukuua ghafla. Kama utakunywa kiasi kikubwa
cha pombe. Matokeo yake yanaweza yakawa ni kusimama kabisa
kwa shughuli za ubongo. Hii inamaanisha kuwa sehemu maalumu
katika ubongo ambazo zinaratibu uvutaji hewa na mapigo ya moyo
hazitaweza tena kufanya kazi na matokeo yake ni kifo.
Lakini pombe pia ni chanzo cha ajali nyingi za barabarani na
kazini. Kumbuka kwamba pombe ni chanzo cha vifo vingi kuliko
dawa zingine za kulevya…..inaendelea....

👋soma zaidi kuhusu👉Je, unaweza kufa kutokana na kuvuta sigara na kunywa pombe?

A Namna ya kupika Vitumbua

Vitumbua ni aina ya vitafunwa vya chai ambavyo hutengenezwa kwa kutumia unga wa mchele. Kiasili vitumbua ni chakula ambacho hupendelewa sana na watu wa pwani. Na mara nyingi wamekuwa wakipika kwa kuchanganya na nazi ili kuvifanya view na ladha nzuri zaidi….inaendelea....

👋soma zaidi kuhusu👉Namna ya kupika Vitumbua

A Siri za mafanikio na Jinsi ya kufanikiwa

Tafuta fulsa kila kona.
Tumia kipaji chako.
Kuwa na nidhamu katika fedha - matumizi mazuri ya pesa, nidhamu kwa watu wanaokuzunguka, usijikweze, usibague jamii, heshimu wote waliokaribu yako nk…..inaendelea....

👋soma zaidi kuhusu👉Siri za mafanikio na Jinsi ya kufanikiwa

A MAANA YA MANENO YANAYOTUMIKA KATIKA MASUALA YA LISHE

ni kitu chochote kinacholiwa au kunywewa na kuupatia mwili virutubishi mbalimbali Chakula huupatia mwili nguvu, kuulinda na kuukinga dhidi ya maradhi mbalimbali .Mfano wa chakula ni ugali, wali, maharagwe, ndizi, viazi, mchicha, nyama, samaki…..inaendelea....

👋soma zaidi kuhusu👉MAANA YA MANENO YANAYOTUMIKA KATIKA MASUALA YA LISHE

A Ikitokea hii kwenye chumba cha mtihani

Upo kwenye chumba cha mtihani,
maswalii yamekupiga kinyama
Unaamua kuchukua smartphone ugoogle kisha ucopy na kupaste kwenye booklet yako,….inaendelea....

👋soma zaidi kuhusu👉Ikitokea hii kwenye chumba cha mtihani

A Madhara ya dawa za kulevya kwa mwili na ubongo

Moja kati ya vitu vinavyotisha kuhusu dawa za kulevya ni kwamba zinaathiri watu kwa njia mbalimbali na huwezi ukasema kwa uhakika jinsi zitakavyokuathiri. Madhara ya dawa za kulevya yanategemea aina, kiwango na jinsi zitakavyotumika. Vilevile inategemea na umri, afya ya mwili na ukomavu wa akili, na pia mazoea ya matumizi ya dawa hizo.
Madhara ya muda hutokea mara tu baada ya dawa za kulevya kutumika, wakati madhara ya muda mrefu huonekana baada ya muda kupita, na mara nyingi husababisha uharibifu wa kudumu kwenye mapafu na ubongo.
Kwa mfano, bangi, husababisha kuongezeka kwa mapigo ya moyo, matatizo ya kumbukumbu ya muda mfupi, pamoja na umakini, kujifunza, kufikiri na kutatua matatizo. Pia inaweza ikasababisha kasoro kwenye utaratibu wa viungo vya mwili. Mara kwa mara wavuta bangi huwa na macho mekundu. Na vijana wengine hupata mihemuko mbalimbali kama uoga na hofu baada ya matumizi ya bangi.
Dawa za kulevya za vichangamsho, kama mirungi na kokaini, inasemekana kuwa huwafanya watumiaji kuwa macho, kujiona wana nguvu na kujiamini. Vichangamsho vikitumika kwa wingi, humfanya mtumaji kujihisi kuwa na wasiwasi au hofu. Matumizi mabaya ya dawa za kulevya kwa muda mrefu huweza kusababisha matatizo ya akili au hata kifo i iwapo yatatumika kwa kiwango cha juu.
Dawa za kulevya zinazokufanya upooze kama heroini au dawa nyingine zinazoagizwa na daktari, husababisha kujisikia umetulia, una amani na furaha. Ukizidisha vipimo husababisha usingizi, upungufu wa umakini na uwezo wa kuona, kizunguzungu, kutapika na kutokwa jasho. Vilevile kipimo kingi kinaweza kusababisha usingizi wa muda mrefu, kuzimia na hata kifo…..inaendelea....

👋soma zaidi kuhusu👉Madhara ya dawa za kulevya kwa mwili na ubongo

A Angalia kilichomkuta huyu mke wa mtu

HAYA NDIO MADHARA YA KULALA KANISANI Tukiwa kanisani mdada alikuwa amelala , akaamka akasikia Pastor anasema " SIMAMA" Yule dada akasimama akashangaaa kanisa zima linamtizima kwa mshangao akiwemo mumewe, akaangalia kanisa zima akashtuka kujiona yeye peke yake ndiye aliesimama Pastor akaendelea vizur endelea kusimama, tumepata mmoja hadi sasa aliyesimama narudia kwa mara ya mwisho kama hujasikia vizuri " kama wew umewahi kumsaliti au bado unasaliti ndoa yako SIMAMA" Binti akazimia….inaendelea....

👋soma zaidi kuhusu👉Angalia kilichomkuta huyu mke wa mtu

A Angalia huyu jamaa alivyomuweza huyu binti wa chuo

😁😁😁😁 .. TABU KUDATE NA MADEMU WA CHUO
Demu ; Baby Safari Hii Nataka Pale Hostel Niwafunike Mashoga Zangu Wote.
Jamaa ; Poa Sweetie Ondoa Shaka Nitakununulia #Turubai Utawafunika Wote…!!!
Demu: Mxiuuuuuuuu Lione Sura Kama Goti La mbuzi Na Namba yangu futa Nakublock Mpaka Sanduku la posta…!!! 😂😂😂😂nmecheka adi nmelazwa….inaendelea....

👋soma zaidi kuhusu👉Angalia huyu jamaa alivyomuweza huyu binti wa chuo

A Jinsi ya kupika mkate wa sembe

Unga sembe glass 1
Unga ngano glass 1
Sukari glass 1 (unaweza kupunguza kidogo)
Maziwa glass 1
Mafuta 1/2 glass
Mayai 4
Iliki iliosagwa 2tbs
Bp 2tbs….inaendelea....

👋soma zaidi kuhusu👉Jinsi ya kupika mkate wa sembe

A Jinsi ya kutambua magonjwa ya mbuzi wa maziwa

Magonjwa Yanayowakabili Mbuzi Wa Maziwa
Unaweza kuhakikisha kuwa unawachunguza mbuzi wako mara kwa mara na kuwapa chanjo ili kuwakinga dhidi ya magonjwa,wadudu hatari na kuwalisha vyakula bora viliyvo na madini muhimu…..inaendelea....

👋soma zaidi kuhusu👉Jinsi ya kutambua magonjwa ya mbuzi wa maziwa

.

Majarida na vitabu kutoka Ackyshine eBook Shop

Kichekesho%20Kipya Usikose 📕Kitabu cha Vichekesho Vikuu Vikali 300+✔ Kina kurasa 270 zenye picha📷 na vichekesh😂 zaidi ya 300💨
👉Bofya hapa KuchukuaKizuri

.

Kichekesho%20Kipya Usikose 📕Kitabu cha SIRI ZA MWANAMKE👧👗👠 Kinamwelezea🔎Mwanamke🔍 kinagaubaga✔
👉Bofya hapa KuchukuaKizuri

.

Kichekesho%20Kipya Usikose Jarida la Kilimo Bora cha Hoho Kilimo cha hoho kimeelezewa
👉Bofya hapa KuchukuaKizuri

.

Kichekesho%20Kipya Usikose Jarida la Kilimo Bora cha Matikiti Linafundisha ulimaji wa matikiti
👉Bofya hapa KuchukuaKizuri

.