Tafuta

.

Kijitabu cha Kilimo Bora cha Hoho Kilimo cha hoho kimeelezewa .

👉SOMA ZAIDI HAPA...

👉 Kinga ya mwili ni nini?👇✔

Kinga ya mwili ni mpangilio wa mwili kujikinga na maradhi. Chembechembe nyeupe zilizopo katika damu ya mwili mzima wa binadamu zina kazi maalum katika kuhakikisha kinga ya mwili i i ipo. Kama askari jeshi wanaolinda nchi yao, chembechembe hizo kwa pamoja zinalinda mwili dhidi ya magonjwa. Hivyo, kama chembeche-mbe hizo zikishambuliwa, mwili hauwezi kujikinga na maradhi au magonjwa.

🙉🙉🙉Usisahau kushare posti hii kuhusu (Kinga ya mwili ni nini?).👍 Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasome💯✔

New-Microsoft-PowerPoint-Presentation-2.gif

.