Tafuta

Tafuta ndugu zako msiojuana hapa Unaweza ukawajua kwa kujieleza na kuwasoma

👉SOMA ZAIDI HAPA...

👉 Kama sitaki kujamiiana kabla ya ndoa, nifanye nini ili kuondokana na adha ya vishawishi vya hao ambao wameshaanza kujamiiana?👇✔

Kama umeamua kutojamiiana kabla ya ndoa, huo ni uamuzi mzuri na ni haki yako. Kutojamiiana kabla ya ndoa ni uamuzi wako binafsi kama ambavyo watu wengine walivyo na haki ya kuamua kuhusu maisha yao.
Hakuna haja ya kujisikia vibaya unaposikia vijana wenzako wanapoelezea jinsi wanavyojamiiana na raha wanayoipata. Unayo haki ya kujisifu kwamba mpaka sasa hivi umeweza kuvumilia kutojamiiana. Kumbuka kwamba vijana wengi wanaozungumzia kujamiiana wanatia chumvi tu. Iwapo marafiki zako watazidi kukunyanyasa, jaribu kuwaeleza kwa nini umeamua kutojamiiana kabla ya ndoa. Wape ufafanuzi kuhusu madhara ya kujamiiana katika umri mdogo. Kama wataendelea basi hatua sahihi za kuchukua ni kutafuta marafiki wengine mtakaoelewana nao vizuri.

🙉🙉🙉Usisahau kushare posti hii kuhusu (Kama sitaki kujamiiana kabla ya ndoa, nifanye nini ili kuondokana na adha ya vishawishi vya hao ambao wameshaanza kujamiiana?).👍 Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasome💯✔

Mtafute ndugu yako mliopotezana Yupo hapa anakutafuta wewe

👉SOMA ZAIDI HAPA...

Ndugu.gif

.