.

Kichekesho%20Kipya Jiunge na Kampeni ya Amani na Upendo Yenye Lengo la kudumisha Amani na Upendo
πŸ‘‰SOMA ZAIDI HAPA...Kizuri

πŸ‘‰ Kama Albino akiathirika na VVU anaweza kutumia ARVs kama watu wengine?πŸ‘‡βœ”

IMG_20180108_172858.jpg

Imehaririwa na; Melkisedeck Leon Shine. Tarehe 01 Feb 2016 13:45. [Legal & Authority]


Kama Albino akiathirika na VVU anaweza kutumia ARVs kama watu wengine?

Katika suala hili la UKIMWI hakuna tofauti yoyote kati ya
Albino na watu wengine katika jamii. Albino wanaweza kupata
maambukizo kama watu
wengine, na mahitaji yao ni yaleyale, kijamii, kisakolojia na kiafya.
Albino watapewa ARVs kama watu wengine kwa kufuata
utaratibu uleule wa matibabu ya UKIMWI kama wanavyofanyiwa
watu wasio Albino. Kwa hiyo kama Albino anakataliwa kupewa
huduma za dawa za kufubaza VVU (ARVs) basi atoe taarifa
kwa vyombo husika ukiwemo uongozi katika jamii au kwenye
Chama cha Albino ili waweze kuwasaidia kufuatilia haki zao.

Soma%20Zaidi.gif Napendekeza uendelee kusoma kuhusu; Mapishi ya Bagia dengu.

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰Usisahau kushare posti hii kuhusu (Kama Albino akiathirika na VVU anaweza kutumia ARVs kama watu wengine?).πŸ‘ Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasomeπŸ’―βœ”

Nini maoni yako kuhusu, Kama Albino akiathirika na VVU anaweza kutumia ARVs kama watu wengine?? Niandikie hapa
Add a New Comment
or Sign in as Wikidot user
(will not be published)
- +

IMG_20170703_130405.jpg

Ujumbe wangu kwako kwa sasa

"Msomaji wangu mpendwa, unakaribishwa kutembelea blog hii kila siku kwa ajili ya kujisomea vitu vipya. Kila siku unahakikishiwa kupata kitu kipya."

karibu-sn.gif

.

.

b.gif

Mimi ni Melkisedeck Shine Mmiliki, Mwandishi /Mhariri. Karibu tena kila siku.

MAWASILIANO | KUHUSU MWANDISHI

Blog nyingine maarufu ndani ya AckySHINE.com

| Vichekesho | Videos | Picha | Ujasiriamali | Mahusiano | Kilimo & Mifugo | Katoliki | Afya & Mapishi | Hadithi | Misemo | SMS