Kichekesho%20Kipya Usikose πŸ“•Kitabu cha SIRI ZA MWANAMKEπŸ‘§πŸ‘—πŸ‘  KinamwelezeaπŸ”ŽMwanamkeπŸ” kinagaubagaβœ”πŸ‘‰Bofya hapa KuchukuaKizuri

.

πŸ‘‰ Jinsi ya kutunza Upendo na urafiki katika mahusiano ya kimapenziβœ…

images-14.jpeg

Ni matumaini yangu kuwa wewe ni miongoni mwa wasomaji wangu wa kila siku wa blog hii, kama sivyo unakaribishwa kuungana na wasomaji wangu wanaotembelea Blog hii kila siku. Baada ya kusoma kuhusu;

images-13.jpeg

Leo nimekutayarishia makala kuhusu Jinsi ya kutunza Upendo na urafiki katika mahusiano ya kimapenzi.

Jinsi ya kutunza Upendo na urafiki katika mahusiano ya kimapenzi

Watu Wengi Ambao Wako Kwenye Uhusiano Wanalalamika Kuwa Wenzi Wao Hawawaoneshi Upendo Kama Ilivyokuwa Siku Za Mwanzo Za Uhusiano Wao. Wanaeleza Kuwa Wanaona Uhusiano Wao Unalegalega Na Mapenzi Yanapungua Taratibu Kama Barafu Iyeyukavyo Juani.

Ili Kuepuka Yote Haya, Hauna Budi Kujifunza Njia Za Kuwasha Upya Moto Wa Upendo Kila Wakati Kwa Kuongeza Ukaribu (Intimacy) Kati Yako Na Mwenzako.

Zifuatazo Ni Mbinu Zitakazokusaidia

1. Kucheka Pamoja na mpenzi wako

Kicheko Ni Mlango Wa Ukaribu, Kama Mwaweza Kucheka Pamoja Basi Mwaweza Kulia Pamoja, Na Hapa Mwaweza Kuaminiana Zaidi Katika Kuwasiliana Hisia Zenu, Kama Waweza Kuitofuta Furaha Katika Kila Kitu Basi Unaweza Kupenya Katika Vyote. Usiwe Mgumu Na Mwenye Msimamo Mkali Katika Kila Kitu. Jifunze Kujizuia Pale Unapoanza Kuelekea Kwenye Kukasirika Na Badala Yake Tumia Kucheka Kama Mlango Wa Kutokea. Kama Utaanza Kujizoeza Hivi Ukiwa Nyumbani, Taratibu Utaweza Ukiwa Ofisini Na Hata Kwingine Kokote.

2. Kutiana Moyo na mpenzi wako

Kila Mmoja Awe Msaada Na Tegemeo Kwa Mwenzake. Jifunze Kumtia Moyo Na Kumwezesha Mwenzako. Sikiliza Na Kufuatilia Vile Mwenzako Afanyavyo Au Apendavyo.

Onyesha Heshima Katika Vitu Hivyo Pia. Kila Upatapo Nafasi Mpongeze Mbele Za Watu Au Hata Unapokua Nae Peke Yenu. Mjenge Mwenzako Mbele Ya wengine Na Kubali Pongezi Zote Za Mafanikio Yenu Zimwendee Yeye. Mruhusu Mpenzi Wako Ajue Kuwa Una Mkubali Katika Kila Afanyalo. Zaidi Tunavyo Wainua Wapenzi Wetu Ndivyo Wanavyotuthamini Na Kutunyanyua Na Sisi Pia.

3. Kupenda Kugusana na mpenzi wako

Nguvu Ya Mguso Wa Ukaribu Kamwe Haiwezi Kulinganishwa Na Chochote. Lazima Mjifunze Kujenga Tabia Ya Kugusana Mara Mpatapo Nafasi Sio Tu Mnapokuwa Mmelala. Kugusana Huku Ni Pamoja Na Kushikana Mkono Mkiongea Au Mkitembea, Kukumbatia Bega, Kugusa Au Kuchezea Nyewele Za Mwenzako Na Njia Nyingine Zozote Za Kuonyesha Ukaribu Kimwili. Wengi Wetu Huweza Kufanya Haya Kidogo Tunapokuwa Peke Yetu Na Kamwe Sio Mbele Ya Watu, Je, Ni Aibu, Nidhamu Mbaya? Dhambi?
Kugusana Ndiyo Mwanzo Wa Kuamsha Hisia Za Kuhitajiana, (Hebu Jiulize Kisirisiri, Lini Uligusana Na Mwenzako Nje Ya Chumba?). Kumgusa Umpendaye Hukuzuia Kutowaza Kumgusa Yeyote Katika Ulimwengu Uliojaa Wengi Walio Wapweke.

Mguso Huu Wa Upendo Haumaanishi Mguso Wa Tendo La Ndoa, Ingawa Pia Ni Vyema Kujifunza Kuijenga Lugha Ya Mguso Wa Tendo La Ndoa Katika Uhusiano Wenu.

4. Zungumza Hisia Zako na za mpenzi wako

Kati Ya Vikwazo Vikubwa Katika Ustawi Wa Uhusiano Mengi Hususan Ya Wanandoa Ni Kutokuwepo Kwa Majadiliano. Lazima Wapenzi Wajifunze Kuzungumza Kuhusu Hisia Zao. Kama Vile Maisha Yasivyo Na Ukamilifu, Uhusiano Na Hata Ndoa Pia Hazina Ukamilifu. Mpenzi Wako Hayuko Kamili Na Wala Wewe Pia Siyo Mkamilifu. Jifunze Kuzungumza Na Umpendaye Jinsi Unavyojisikia Na Nini Kinachokusumbua. Kuendelea Na Migogoro Isiyosuluhishwa Husababisha Moyo Kuwa Baridi Juu Ya Mwenzako. Jiwekeeni Muda Kila Wiki Wa Kutoka Ili Kuzungumza Mambo Yenu. Mwambie Umpendaye Yapi Yanayojiri Kila Siku Na Zipi Ni Changamoto Zako Mkiweza Kujifunza Kuwekeza Katika Muda Wa Kuwa Pamoja Taratibu Hata Muda Wenu Wa Maongezi Ya Simu Utaongezeka.

5. Msamehe mpenzi wako Na Kubali Kusamehewa naye

Kamwe Tusiache Maumivu Na Machungu Yatawale Uhusiano Wetu. Lazima Tujifunze Kuwasamehe Tuwapendao Na Kujisamehe Sisi Pia. Kutofautiana Katika Uhusiano Kupo Sana, Na Lazima Tuwape Tuwapendao Nafasi Ya Kuelezea Vile Vinavyowaudhi Dhidi Yetu. Kila Hisia Za Mmoja Wetu Zina Umuhimu. Huwezi Kujiona Vile Ulivyo, Mruhusu Mwenzako Akwambie Yanayomuumiza Na Msameheane.

6. Linda Mwonekano Wa Mpenzi Wako

Mara Nyingi Hatari Hii Hutokea Tunapokuwa Katika Mizunguko Ya Huku Na Huko. Ukaribu Na Mpenzi Wako Hauendelezwi Tu Bali Unalindwa. Mwonekano Wetu Lazima Uwe Halisi Na Siyo Bandia . Vile Tunavyoviona Katika Tamthiliya Na Filamu Siyo Ukaribu Ulio Halisi. Kama Tunataka Tuonekane Sawa Na Vile Tunavyowaona Wengine Wanavyopendana Basi Tunakosea Na Kujizuia Kuwa Na Mtazamo Bora Katika Uhusiano Wetu. Ukianza Kupata Ukaribu Wa Kweli Baina Yako Na Mwenzako, Utapoteza Hisia Ya Kuhitaji Ukaribu Huo Na Mwingine Yeyote, Na Badala Yake Utaanza Kuulinda Ukaribu Mlionao.

Lengo Liwe Kuvitafuta Vile Vyote Mpenzi Wako Alivyonavyo Ambavyo Ni Kukuza Ukaribu Wenu. Mwenzako Awe Ndiyo Mtu Wa Muhimu Kuliko Wote Katika Maisha Yako.

Usikubali kupitwa na πŸ“•Kitabu cha Vichekesho Vikuu Vikali 300+βœ”. Kina kurasa 270 zenye pichaπŸ“· na vichekeshπŸ˜‚ zaidi ya 300πŸ’¨. πŸ‘‰Bofya hapa KuchukuaπŸ‘ˆ

images-14.jpeg

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰Usisahau kushare posti hii kuhusu; Jinsi ya kutunza Upendo na urafiki katika mahusiano ya kimapenzi.πŸ’―βœ” Share facebook, twitter n.k bila kusahau WhatsApp, share wengine nao wafaidike!πŸ‘

SHINE-MELKISEDECK.jpg

🐼 Endelea kusoma kuhusu;-πŸ™‰

.

Kichekesho%20Kipya Usikose Jarida la Picha Kali Lina picha Nzuri za kufurahisha πŸ‘‰Bofya hapa KuchukuaKizuri

.

Kichekesho%20Kipya Usikose Jarida la Kilimo Bora cha Kabichi Linafundisha kulima kabichi πŸ‘‰Bofya hapa KuchukuaKizuri

.

.

.

Kichekesho%20Kipya Usikose Jarida la Kilimo Bora cha Kabichi Linafundisha kulima kabichi .
πŸ‘‰Bofya hapa KuchukuaKizuri

.

.

.

images-11.jpeg

Habari msomaji wangu…?
Jina langu ni Melkisedeck Leon Shine Mwendeshaji wa blog hii.

Karibu Katika Blog yangu ya AckySHINE mahali pa kusoma makala kuhusu mada mbalimbali, vichekesho, picha, pamoja na videos

images-16.jpeg

Mpenzi msomaji, Blog ya Ackyshine ipo kwa ajili yako wewe kutembelea kila siku kwa kuwa inakuwezesha kupata maambo mapya kila siku. Ni wewe tuu kuitembelea mara kwa mara.

MELKISEDECK-SUA.jpg

Blog ya AckySHINE ni Blog pekee ya Kiswahili kwa posti nyingi, isiyochosha kusoma, yenye posti nyingi nzuri mapya kila saa unapotembelea. Unahakikishiwa kupata kitu kipya utakachopenda kila unapotembelea blog hii, Utapata makala, vichekesho, videos, picha n.k. Kwa sasa kuna posti Mpya 6061 kwa ajili yako, ushindwe wewe tuu kuperuzi Blog hii.

width="102"

Karibu kwenye blog yako yenye manufaa kwako kwa kuwa kila wakati imekua ikikujuza mambo mapya ya kukunufaisha. Unaweza kupata kitu kipya hapa kila siku.

images-7.jpeg

Chagua unachotaka hapa…
VICHEKESHO | PICHA | VIDEOS {TV} | UJASIRIAMALI | MAHUSIANO | AFYA & MAPISHI | TEKINOLOJIA | BLOG KWA WAKATOLIKI | eBOOK SHOP | MAKTABA

images-11.jpeg

Mpendwa msomaji wangu, karibu tena katika blog yako uipendayo. Usikose kutembelea Blog hii kila mara upatapo wasaa

images-21.jpeg

KUHUSU BLOG HII | MAWASILIANO | ABOUT AUTHOR | LEGAL GUIDELINES