Jinsi ya kufugakuku wa nyama

Mpendwa Msomaji, baada ya kukuandalia makala inayopendwa kuhusu; Soma. Hii ndio sababu kwa nini nawapenda wanawake, sasa nimekuandalia makala hii kuhusu;

Jinsi ya kufugakuku wa nyama.

Endelea kefurahia makala nzuri kila siku unapotembelea tovuti hii.

USIKOSE HII👉 Tafuta ndugu zako hapa

Jinsi ya kufugakuku wa nyama

By, Melkisedeck Shine.

UFUGAJI WA KUKU WA NYAMA (BROILER) 100 KATIKA ENEO LA MITA MBILI (2).

Huu ni ufugaji wenye tija na katika eneo dogo.

  1. *Eneo linalohitajika ni mita mbili (2), Kwa maana ya Urefu wa mita mbili(2) na Upana wa mita moja(1).
  2. *Kinakachofanyika katika hilo eneo ni ujenzi wa ghorofa/shelves tano(5) kwenda juu kwa ajili ya kufugia kuku.
  3. *Urefu unaoshauriwa wa kila shelf/chumba kimoja ni futi moja na nusu hadi mbili.
  4. *Katika kilachumba/shelf unashauriwa kuweka kuku ishirini, kwa maana ya kuku 10 katika eneo la mita 1.
  5. *Ukichukua idadi ya kuku katika kila chumba (20) mara idadi ya vyumba 5, watapatikana kuku mia(100) katika eneo la mita 2.
  6. *Kumbuka kuwa unaweza kufanya mabadiliko mengine kulingana na eneo utakaloweka ghorofa la kuku.

Unaweza kusoma makala mpya nzuri kila unapotembelea website hii wakati wowote. Baada ya kusoma makala hii kuhusu; Jinsi ya kufugakuku wa nyama, sasa endelea kusoma makala hizi nyingine nzuri nilizokuandalia;

Usipitwe na Nafasi za kazi kwa leo

<<Bofya HAPA kujua zaidi>>

.

UJUMBE-WA-SHUKRANI-KWA-NDUGU.JPG
KADI-PONGEZI-MZAZI.JPG