Tafuta

.

Ndugu zako wanapatikana hapa Wapo wanakusubiri uwatafute.

πŸ‘‰SOMA ZAIDI HAPA...

πŸ‘‰ Jinsi ya kufuga ng'ombe kisasaπŸ‘‡βœ”

UFUGAJI WA NG'OMBE

Ng'ombe wa kienyeji ndiyo wanaofugwa kwa wingi Tanzania bara na Visiwani ikiwa ni asilimia 96.2 bara na asilimia 95.2 visiwani. Ng'ombe wa nyama na maziwa walioboreshwa ni asilimia (0.9 na 2.9) kwa bara na asilimia (0.7 na 4.1) kwa visiwani. Idadi ya ng'ombe Tanzania bara na visiwani inaonekana kupongezeka ukilinganisha na ya sensa ya mwaka 2002/2003 kwa ng'ombe 4,281,082. Takwimu hizi zinaonyesha kuwa mkoa wa Shinyanga ndio unaofuga ng'ombe wengi zaidi ikifuatiwa na Tabora. Mikoa mingine inayofuga ng'ombe wengi kuanzia milioni moja hadi mbili ni Mwanza, Arusha, Mara, Manyara, Singida and Dodoma
Chanzo: (Repoti ya taifa iliyotolewa mwezi wa tatu mwaka huu inayotokana na sensa iliyofanyika mwaka 2007/2008 kwa kutumia sampuli).

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰Usisahau kushare posti hii kuhusu (Jinsi ya kufuga ng'ombe kisasa).πŸ‘ Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasomeπŸ’―βœ”

Unakumbuka marafiki zako wa enzi ukiwa mdogo? Wacheki hapa ukutane nao tena

πŸ‘‰JUA ZAIDI...

Slide1-mabest-skull.PNG

.