Kichekesho%20Kipya Usikose ๐Ÿ“•Kitabu cha Vichekesho Vikuu Vikali 300+โœ” kwa punguzo kutoka Tsh 6500/= hadi Tsh 1500/= kwa leo tuu!.
๐Ÿ‘‰<<Bofya hapa Kuoda>> Kizuri

.

๐Ÿ‘‰ JINSI YA KUACHA KUJICHUA AU KUPIGA PUNYETO KWA WANAWAKE NA WANAUMEโœ…

Hebu niambie…umeshawahi kujichua? Mara ngapi? Bado unaendelea na mchezo huo? Vipi, umewahi kusikia watu wakizungumza kuhusu suala hilo? Najua unaona aibu, hasa kama una tabia hiyo. Usiogope rafiki yangu, leo nitazungumza na wewe taratibu halafu mwisho kabisa nitakuacha na tabasamu la nguvu!

Ndugu zangu, wakati mwingine kuna mambo magumu kidogo ambayo baadhi ya watu wanayaonea aibu, lakini yanaendelea kuwa tatizo kwa watu wengi. Leo tutazungumza. Amini usiamini, asilimia 90 ya wanaofanya mchezo huo, hawapendi hata kidogo.

Kila wanapomaliza kujiridhisha huahidi kuacha, lakini baada ya saa kadhaa kupita, wanarudi kule kule. Kama una tabia hiyo, utakuwa unanielewa vizuri zaidi juu ya kile ninachokizungumzia hapa. Hebu twende tukaone.

KUJICHUA NI NINI HASA?

Kwa Kiingereza tendo hili linaitwa โ€˜โ€™ likiwa na maana ya kupiga punyeto. Hapa nimetumia kwa ulaini kabisa; kujichua. Lugha nyepesi na rahisi kufikika kwa wengi ni kujiridhisha! Ni kitendo cha mtu kujichezea kimahaba huku akivuta hisia za mapenzi kwa mtu ambaye yupo mbali naye hadi anapomaliza haja zake.

Namna ya ufanywaji inategemea zaidi na jinsi ya mazoea. Wapo wanaotumia vifaa bandia (artificial) na wengine vifaa halisi kama aina mbalimbali za matunda ambazo zinafanana na sehemu pacha!

Wengine wanatumia njia wanazojua wenyewe, lakini wanaume wengi wanatumia sabuni lengo hapa ni moja tu, unatakiwa kufahamu kwamba namaanisha kujiridhisha.

INAWEZEKANAJE KUJIRIDHISHA?

Ni rahisi sana kumaliza tendo la huba kwa kujifanyisha mwenyewe. Silaha kubwa inayotumiwa na waathirika ni kuwavutia hisia watu wa jinsi pacha wakati tendo husika likiendelea kufanyika.

Habari mbaya kwa watu wenye mchezo huu ni kwamba, kwanza wakishaanza, inakuwa vigumu sana kuacha. Inashindikana kwa sababu ni jambo la aibu. Si rahisi kupata ushauri kutoka kwa watu maana ni aibu pia kumweleza rafiki yako juu ya mchezo huo.

Kutokana na hilo sasa, kinachotokea ni kwamba โ€˜wauminiโ€™ wa mchezo huu wanaendelea kuwa watumwa kwa maisha yao yote. Hapa chini tutaona kwa undani jinsi tatizo hili linavyoumiza vichwa vya wengi.

Ni kweli hutaki kuwa mtumwa wa mchezo huu hatari? Zipo athari nyingi sana rafiki yangu ambazo nitazieleza hapa chini.

CHANZO NI NINI HASA?

Jambo la kushangaza ni kwamba, hakuna mdau wa mchezo huo ambaye amefundishwa jinsi unavyofanywa. Wengi wameanza wenyewe, tena wengine bila kujua nini kitakachotokea, lakini baada ya matokeo kuonekana, ndiyo mwanzo wa kutopea huko.
Kwa vijana wa kiume, wengi huanza tabia hii wakiwa kwenye umri wa kubalehe. Mara nyingi hutokea asubuhi wakati wa kuamka, usiku wakati wa kulala au bafuni wakati wa kuoga.

Kwa kawaida, mtu anapokuwa katika sehemu ya utulivu kwa maana ya kupumzika, wakati mwingine mkono unaweza kutembea huku na huko kwenye mwili na mwisho wake bila kutegemea mhusika anajikuta ameshaingia kwenye mchezo huo.

Huwa kama mzaha, akiwa hajui hatma yake, lakini msisimko anaoupata ndiyo unaomchanganya na mwisho wake anashangaa kila kitu kimemalizika. Unajua atakachosema? Sikia: โ€œMh! Kumbe ndiyo mwisho wake ni hivi? Lakini kama nimesikia starehe hivi…โ€
Hiyo hutokea pia wakati wa kuoga, ambapo wakati wa kujisugua kwa dodoki, msisimko ukitokea, madhara yanakuwa kama nilivyoeleza hapo juu.

Wenye umri mkubwa au wa kati, huanza tabia hii hasa baada ya kuanza mchezo wa kuangalia video za kikubwa wakiwa peke yao. Kwa sababu wanachotazama kinahusisha msisimko wa mapenzi, basi bila kutarajia hujikuta tayari!
Hii inafanana pia na kwa watoto wa kike, vyanzo nilivyoeleza hapo juu pia husababisha kwa karibu sana.

Sababu nyingine ni kunyimwa au kutotoshelezwa kimahaba na mwenzake.Wengi imewagusa, lakini kuna makundi mawili; wapo waathirika ambao wanatamani kuachana na utumwa huu na wengine wameathirika zaidi, kiasi kwamba hawana mpango wa kuacha.

Wengine wameenda mbali zaidi, kwa vile hawafikirii kuachana na mchezo huu, wamefikia hatua wanasema kwamba hakuna madhara kwa mtu anayejichua! Watu wanatetea wazi wazi, kwamba kujichua hakuna madhara. Sikia rafiki yangu, hata anayevuta sigara anajua kwamba ina madhara kwa afya yake, lakini ili kujifariji, atajenga hoja kwamba, haimdhuru na badala yake inamsaidia sana kuondoa baridi na haina kilevi.

Wakati mvuta sigara akisema hivyo, mlevi naye atakuja na hoja kwamba, pombe inamsaidia sana kupunguza mawazo. Kila mmoja atatetea upande wake. Ni jambo la kawaida kabisa.

Nikiwa naelekea kuendelea na mada yetu, rafiki yangu mpendwa kama wewe ni โ€˜muuminiโ€™ wa tabia hiyo, unatakiwa kufahamu kwamba unafanya jambo HATARI sana, si tu kwa afya yako, kisaikolojia na dhambi ya uzinifu ambayo hiyo itatokana na uhusiano wako mwema na imani ya dini yako, NDOA yako ipo/itakuwa hatarini.

Nadhani mnakumbuka wiki iliyopita nilieleza maana ya kujichua, namna tendo linavyofanyika na jinsi mtu anavyoanza mchezo huo bila kutegemea. Sasa rafiki, hebu tuendelee kwenye namna tatizo linavyokua.

UKUAJI WA TATIZO

Mwathirika akishazoea, hufanya tendo hilo kama sehemu ya maisha yake. Alianza bila kujua matokeo yake, lakini sasa amejikuta akianza kuupenda na idadi ya ufanywaji wa tendo huanza kupanda, baada ya siku tatu, siku mbili, kila siku na hatimaye kwa siku zaidi ya mara moja.

โ€œKaka Shaluwa, najichukia sana, yaani nimekuwa mtumwa kabisa wa kufanya huu ujinga.
Kwa siku nafanya mara mbili au zaidi, lakini si chini ya hapo,โ€ alisema rafiki mmoja, aliyenipigia simu baada ya kusoma sehemu ya kwanza ya mada hii wiki iliyopita.

Ukweli ni kwamba, mfanyaji kwa vile ameshapata โ€˜mteremkoโ€™ wa kutimiza haja zake, kwanza ataanza kuwadharau wanawake/wanaume, kwamba hawawezi kumtisha, kwa sababu ana njia za kujifurahisha mwenyewe.

Pili, hufikia hatua ya kuwachukia watu wa jinsia pacha, akiwaona kama โ€˜wanaringaโ€™ hasa kama atakuwa amemshawishi kimapenzi na kukatawaliwa.

ATHARI ZAKE

Zipo athari nyingi sana ambazo mwathirika anaweza kuzipata kwa kuendekeza mchezo huu. Hapa nataka nizungumze kwa herufi kubwa kabisa kwamba, ndugu zangu usidanganyike kwamba hakuna madhara kwa kufanya mchezo huu.

Yapo MADHARA makubwa sana ambayo yanapatikana kwa mchezo huo. Achana na propaganda za mitaani, zenye utafiti hewa.

Sikia nikuambie rafiki yangu, hasa wewe ambaye unafanya mchezo huo. Upo kwenye hatari kubwa ya kushindwa kufurahia mapenzi, kwa vile mazoea ya kiungo siri chako ni kwenye vitu โ€˜artificialโ€™ zaidi ya โ€˜naturalโ€™.

Mwanaume aliyezoea kujiridhisha mwenyewe, akikutana na mwanamke, hana muda mrefu sana, kila kitu kinamalizika.

Siyo hivyo tu, uwezo wa kurudia tendo unakuwa mdogo au unakosekana kabisa. Kinachotokea ni kwamba, kiungo siri chake kinakuwa kimeshazoea, aina nyingine ya โ€˜hali ya hewaโ€™ hivyo kinapokutana na sehemu siri za kike, ambazo ni laini na zenye ute mwepesi, inakuwa rahisi kumaliza โ€˜biasharaโ€™ mapema wakati wateja bado wanahitaji!

Kiungo siri cha mwanaume huwa kigumu, hivyo kusababisha maumivu kwa mwanamke kutokana na sugu aliyoitengeneza bila kujua. Kwa kawaida viungo siri vyote ni laini sana na vinatakiwa kubaki katika hali hiyo ili kuleta msisimko wenye usawa.

Mazoea yoyote tofauti na yale ambayo yanatakiwa hupunguza msisiko na kusababisha mmoja wa washiriki wa tendo la ndoa kubaki na kiu na mwenzake.

โ€œNajuta kuufahamu huu mchezo, kila siku ninapokutana na mume wangu, ananiacha nikiwa sijatosheka. Kiukweli tangu amenioa, sijawahi kufurahia tendo la ndoa. Nilianza huu mchezo zamani sana, tangu nikiwa kidato cha tano.

โ€œKuna rafiki yangu mmoja nilikuwa nakaa naye bweni moja alinifundisha. Sikujua kama madhara yake ni makubwa kiasi hiki. Ilikuwa ni shule ya wasichana tupu, kwa hiyo akanidanganya kwamba tuachane na wanaume tujichue…kumbe alikuwa ananisaga!โ€ hii ni sehemu ya ushuhuda mwingine wa mchezo huo.

Athari nyingi ambayo mtu anaweza kuipata kwa kujichua ni kumaliza โ€˜kaziโ€™ mwenyewe bila hata kwenda kazini. Akipita mtu wa jinsi pacha, ambaye ana mvuto, kazi inaishia hapo hapo!

UPO KUNDI GANI?

Uko wapi rafiki yangu? Nazungumza na wewe ambaye unafanya mchezo huo, bado unataka kuendelea nao au unatamani kuacha? Shika maneno yangu, kwamba ni HATARI kujichua, halafu weka nia ya kutaka kuacha huu utumwa, kisha vuta subira hadi wiki ijayo katika sehemu ya mwisho ambayo haitaacha kitu.

MFADHAIKO

Mtu ambaye anaendekeza kazi hii, hupata mfadhaiko. Anayepata mfadhaiko, huwa mwepesi sana wa kuwa na matamanio kwa jinsia ya upande wa pili.

Si ajabu mtu mwenye mchezo huo, kutembelea akimwangalia mwanamke kuanzia Magomeni hadi Manzese! Amefadhaika. Ameshazoea kumaliza kazi nzima akiwa peke yake, kwa hiyo raha yake inabaki kuwa katika picha tu na si kitu halisi.

Macho yanakuwa juju juu, si kwa kupenda, ni kwa sababu tayari ameshaathiriwa na tatizo hilo. akitoka hapo, ujue moja kwa moja faragha, anaanza mambo yake. Kelele nyingi, kumbe yupo peke yake!

Mfadhaiko hauishii hapo, hata akiwa kwenye vyombo vya usafiri au mkusanyiko wa watu, mwathirika huweza kumaliza โ€˜kaziโ€™ kwa macho tu, tena wakati mwingine bila kuwa na taarifa. Anakuja kugungua baadaye sana, kwamba kumbe kila kitu kilishafanyika bila hiyari yake.

KUSHINDWA TENDO LA KAWAIDA

Mwenye mchezo huo, pamoja na uhodari wake wa kujifurahisha akiwa peke yake, anapokutana na mwenzi wake faragha, kazi inakuwa si ya kiwango cha kuridhisha. Kuna athari nyingi ambazo hujitokeza.

Kwanza, anakosa ujasiri, hayupo tayari kuandaliwa, kumuandaa mwenzake. Kishazoea kufanya kila kitu haraka haraka, tena kwa kutumia hisia zaidi kuliko uhalisia wa tukio lenyewe.

Anakuwa goigoi, anachelewa kuwa tayari, hata akiwa tayari anafika safarini mapema zaidi. Mbaya zaidi, akifika hawezi kuanza safari nyingine. Hata kama akianza, kuna uwezekano mkubwa wa kuishia njiani.

Baadhi yao, hubaki wakiwa baada ya wahusika wao kuwagomea katikati ya safari. Zipo athari nyingi zaidi ya hizo, kutegemea na namna tatizo lilivyokomaa na aina ya jinsia.

KUFEDHEHEKA

Baada ya hayo hapo juu kujitokeza kwenye ndoa/uhusiano wa mwathirika, kinachofuata sasa inakuwa ni kufedheheka. Kwa bahati mbaya sana, unaweza kufanya siri mchezo wako, lakini athari zikawa wazi kwa mwenzako.

Hata kama hatagundua chanzo cha tatizo, lakini atagundua kwamba huna msisimko, huwezi kazi au vyovyote vile. Wengi husema kwa hisia, humaanisha kwamba hakuna wanachopata kutoka kwa wenzao, lakini mambo yakizidi kuwa hovyo, wanafunguka: โ€œMwenzangu kila siku unaniacha na kiu, una tatizo gani?โ€

Kauli hiyo rafiki yangu, inatosha kabisa kukufanya ushindwe kazi moja kwa moja. Unajua nini? Utaanza kuwaza: โ€œKumbe siwezi kitu…halafu mwenzangu ameshagundua. Nitafanyaje mimi? Mbona nahadhirika?โ€

Ndugu yangu, ikifikia hapo utakuwa unamkimbia mwenzako na kwenda chemba kumaliza biashara zako mwenyewe. Furaha ya moyo itatokea wapi? Kama ndiyo mnaishi kinyumba au mpo ndani ya ndoa ndiyo kabisaaa!
Umeona kazi hiyo?

UNATAKA KUACHA?

Hakuwa dawa kubwa sana ya kuacha mchezo huu. Najua wengi walikuwa na hamu ya kutaka kusikia, wataachaje huu mchezo. Ndugu zangu.Usitarajie kwamba nitakuja kuingia kwenye nafsi yako na kukuambia ACHA KUJICHUA! Ndugu zangu, nitawapa dondoo chache sana, lakini kubwa ni kwamba ATHARI nilizotaja hapo juu zinatosha kabisa kukubadilisha!

Hebu nikuulize, utakuwa na hamu ya kuendelea na haya mambo kama ndoa yako itakuwa hatarini? Nani atakubali kufedheheka? Nani atakubali kupoteza heshima yake? Bila shaka hakuna. Pitia dondoo zifuatazo;

(i) Badilisha utaratibu wa kulala, lala kifudifudi, badala ya chali (rejea maelezo yangu ya awali kuhusu chanzo cha tatizo)
(ii) Acha kuangalia mikanda ya kikubwa ukiwa peke yako.
(iii) Kaa mbali na simulizi zinazohamasisha mapenzi, mazungumzo ya aina hiyo na kampani za watu wanaopenda kusimulia mambo ya faragha.

(iv) Acha mazoea ya kujishika sehemu zako za siri.
(v) Fanya mazoezi ya viungo angalau robo saa tu kwa siku.
(vi) Juu ya yote haya, FUTA kabisa mawazo ya jambo hilo. AMUA kwa dhati ya moyo wako, tambua na ogopa athari ambazo unaweza kuzipata, kisha ACHA KABISA mchezo huo ili kulinda heshima yako na kujipa furaha ya maisha

Chanzo>>

๐Ÿ“šMsomaji wangu mpendwa, leo nimekuandalia ๐Ÿ“– ๐Ÿ“•Kitabu cha Mbinu za Kilimo Bora Cha Mboga๐ŸŒฟ๐Ÿ… ambacho nakupa kwa bei ya punguzo kutoka Tsh 7000/= hadi Tsh 1500/= kwa leo tuu! <<Bofya hapa Kuoda>>๐Ÿ‘ˆ

๐Ÿ™‰๐Ÿ™‰๐Ÿ™‰Usisahau kushare posti hii kuhusu; JINSI YA KUACHA KUJICHUA AU KUPIGA PUNYETO KWA WANAWAKE NA WANAUME.๐Ÿ’ฏโœ” Share facebook, twitter n.k bila kusahau WhatsApp!๐Ÿ‘


๐Ÿผ Endelea kusoma kuhusu;-๐Ÿ™‰

happy-dog-smiley-emoticon.gif

.

vichekesho.jpg
Kwa punguzo kutoka Tsh 6500/= hadi Tsh 1500/= kwa leo tuu!.
Jipatie ๐Ÿ“•Kitabu cha Vichekesho Vikuu Vikali 300+โœ” kwa Tsh 1500/= tuu.
jua%20zaidi%2C%20dont%20delete

.

MBINU-YA-KILIMO-BORA-CHA-MBOGA.jpg
Kwa punguzo kutoka Tsh 7000/= hadi Tsh 1500/= kwa leo tuu!.
Jipatie ๐Ÿ“•Kitabu cha Mbinu za Kilimo Bora Cha Mboga๐ŸŒฟ๐Ÿ… kwa Tsh 1500/= tuu.
jua%20zaidi%2C%20dont%20delete

.

๐Ÿ“ฐ Posti nyingine๐Ÿ‘‡

๐Ÿ“Œ Angalia nilichomfanya huyu mtoto

Kuna mtoto wa jirani ananibore sana kila nkimtuma kitu dukani lazima aonje, Jana nlimtuma sukari akala yote.. Sahii nmemtuma superglue haongei Sipendi ujinga mimi ๐Ÿ˜ก๐Ÿ˜ก๐Ÿ˜ก๐Ÿ˜ก๐Ÿ˜ก๐Ÿ˜ก

๐Ÿ‘‹soma zaidi kuhusu๐Ÿ‘‰Angalia nilichomfanya huyu mtotoโœ…

๐Ÿ“Œ Cheki hawa wachungaji

*CHEKA KIDOGO Wachungaji watatu walikutana kwa siri na kuelezana matatizo yao ili waweze kuombeana. MCHUNGAJI WA KWANZA: mimi tatizo langu ni wizi, kila nikimaliza ibada lazima niibe pesa za sadaka. WA PILI: Mimi tatizo langu ni wanawake yani nimeshalala na wana kwaya wote pamoja na mke wa ASKOF. WA TATU akaanza kulia badala ya kuongea.WENZAKE: We vp unatatizo gani mbona unalia??? AKAJIBU: jamani mimi tatizo langu ni "umbea" haya yote tuliyoongea lazima nikaseme!* ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘†๐Ÿป๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

๐Ÿ‘‹soma zaidi kuhusu๐Ÿ‘‰Cheki hawa wachungajiโœ…

๐Ÿ“Œ Naona ila naona panya tu

Kuna jamaa alipata ajali akapofuka macho, akaenda hospital akawekewa macho ya paka,
dokta akamuuliza: vipi saizi unaona?
jamaa: naona ila naona panya tu

๐Ÿ‘‹soma zaidi kuhusu๐Ÿ‘‰Naona ila naona panya tuโœ…

๐Ÿ“Œ Angalia nilivyookoa maisha ya mtu leo

Nmeokoa maisha ya mtu asubuhi ya leo huwezi amini.Nmekutana na ombaomba nikamuuliza atajisikiaje nikimpa sh.30,000/-

๐Ÿ‘‹soma zaidi kuhusu๐Ÿ‘‰Angalia nilivyookoa maisha ya mtu leoโœ…

๐Ÿ“Œ Haya ndio maisha ya ndoa

Kuna kijana alikua anajua kuwa mke wake
anatoka nje ya ndoa basi akamwuliza mke,
mkewe akakataa, akamwambia baba yake
akaambiwa na babaake tulia mwanangu ndoa
zina mengi! akawa kila siku analalamika kwa
babaake, mwisho babaake akamwambia basi
ntakusaidia. Itabidi ujifanye unaumwa sana hoi
hujiwez halafu nitakuonyesha jawabu!
Basi kijana akajifanya anaumwa mzee akaitisha
kikao cha ndugu wote pande 2,
Mzee akaanza kueleza jaman kijana wetu
anaumwa amepata ugonjwa wa utata hospital
zote umeshindikana hivyo tumeenda kwa mganga
wa jadi amenipa dawa na ina masharti, inatakiwa
atakaye iandaa hii dawa awe mwanamke mwenye
ndoa ambaye hajawah kutoka nje ya ndoa tangu
alipoolewa ndo kijana wetu atapona!
Kama ametoka nje ya ndoa asiandae dawa hii
kwa sababu tukimpa kjana wetu watakufa wote!
Je kina mama nani ataandaa? Walitoka nje
wamama mmoja mmoja hadi mkewe na mamake
mzazi wakatoka, akafata mama ake kijana,
mashangazi na dada zake, mwisho wakabakia
wanaume peke yao! Mzee akamwambia
mwanangu umeona hali za ndoa zilivyo?
Acha kujisumbua tulia na mkeo nadhani
umejionea hali halisi.
Cha zaidi omba Mungu sana juu ya ndoa yako!
Kijana akazimia!

๐Ÿ‘‹soma zaidi kuhusu๐Ÿ‘‰Haya ndio maisha ya ndoaโœ…

๐Ÿ“Œ ForgivE me! au Ungesema Tu NaombA nSameHe.

MSICHANA: Mbona jana nimekupigia simu hujapokea?
JAMAA: please beby forget me.
MSichAnA: eeeh unaniambia hivo mimi?
JAMAA: nakuomba sana forget me.
MSICHANA: aya bwana poa maisha mema.
Msichana anakata simu jamaa ndo ananiuliza."sasa
sijui amekasirikia lipi?" Mi nikamwambia we zuzu
umemwambia AKUSAHAU, dah, kumbe
ningemwambiaje? hahaha, ungemwambia
ForgivE me! au Ungesema Tu NaombA nSameHe.

๐Ÿ‘‹soma zaidi kuhusu๐Ÿ‘‰ForgivE me! au Ungesema Tu NaombA nSameHe.โœ…

๐Ÿ“Œ Wavuta bangi wa Colombia watoa mpya

Asubuhi ya leo huko nchini Colombia baada ya serikali kuidhinisha matumizi ya bangi kuwa halali Wavutaji bangi wamepanda basi la gorofa wengine juu wengine chini….
Waliopanda chini wanawauliza wa juu huko speed ni ngapi maana huku ni 80.
Wajuu wakajibu huku mpaka sasa hatujui dereva bado hajaja…. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

๐Ÿ‘‹soma zaidi kuhusu๐Ÿ‘‰Wavuta bangi wa Colombia watoa mpyaโœ…

๐Ÿ“Œ Machiz na ndege

Machizi wamekaa sehemu mara ghafla ikapita ndege angani.
Chizi wa kwanza akasema:ndege ile itakua imembeba raisi.
Chizi mwenzie akajibu:hapana imebeba wazungu kama ingembeba raisi tungeona pikipiki zimetangulia mbele…
da!balaaa

๐Ÿ‘‹soma zaidi kuhusu๐Ÿ‘‰Machiz na ndegeโœ…

๐Ÿ“Œ Vichaa bwana, ni noma!

Vichaa walipanga kutoroka, wakakubaliana wamnyonge mlinzi watoroke! Walipofika getini wakakuta geti lipo wazi na hakuna mlinzi, wakasema "Turudi mipango yote imevurugika…

๐Ÿ‘‹soma zaidi kuhusu๐Ÿ‘‰Vichaa bwana, ni noma!โœ…

๐Ÿ“Œ Hapo sasa akili itakuja

pale unapo gundua kuwa yule ulie mtukana kwenye bajaji ndio boss anaeenda kukufanyia interview๐Ÿ˜ฅ๐Ÿ˜ฅ๐Ÿ˜ฅ๐Ÿ˜ญ

๐Ÿ‘‹soma zaidi kuhusu๐Ÿ‘‰Hapo sasa akili itakujaโœ…

๐Ÿ“Œ Mamba na kiboko

Eti kati ya *MAMBA* na *KIBOKO* nani kiboko???
๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œ

๐Ÿ‘‹soma zaidi kuhusu๐Ÿ‘‰Mamba na kibokoโœ…

๐Ÿ“Œ ZINGATIA HAYA

KAPIMWE AKILI…

๐Ÿ‘‹soma zaidi kuhusu๐Ÿ‘‰ZINGATIA HAYAโœ…

๐Ÿ“Œ Umeiona hii!!

Asilimia 76% Ya Wasichana Kila Ukiwatongoza Wanakwambia Wapo In relationship SAWA ATUKATAI…

๐Ÿ‘‹soma zaidi kuhusu๐Ÿ‘‰Umeiona hii!!โœ…

๐Ÿ“Œ Huyu mlinzi bwana

High school Flashback!!
.
Watchman : Amkeni muende morning preps.
Allan : Mimi ni mgonjwa.
Watchman : Unaumwa na nini hiyo?
Allan : Bionomial Nomenclature.
Watchman : Eeh, lala tu kijana. Hiyo kitu ni
mbaya. Imeuwa watu South Africa.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

๐Ÿ‘‹soma zaidi kuhusu๐Ÿ‘‰Huyu mlinzi bwanaโœ…

๐Ÿ“Œ Udocta noma!!

Dokta alikuwa anakwenda kuwinda hivyo akamuachia majukumu assistant wake Jason.
Dokta: "Jason nakwenda kuwinda hivyo majukumu yote ni yako na angalia wagonjwa wote!"
Jason: "Ndio mkuu!"
Baada ya kurudi dokta akamuuliza vp mambo yalikwendaje kwa Jason..
Jason: " Nliwashughulikia wagonjwa wa3! Wa1 kichwa kilikuwa kinamuuma nikampa panadol"
Dokta: "Safi sana na wapili?"
Jason: "Wa2 alikuwa anaumwa na 2mbo na kama linavuruga alisema, nikampa flagyl"
Dokta: "Bravo, wee safi sana na wa3 je?
Jason: "Dokta nlikuwa nimekaa ghafla mwanamke akaingia na akavua nguo zote akabaki mtupu na akalala kwenye meza. Akapanua miguu na kupiga kelele nisaidie dokta kwa miaka mi5 sijamuona mwanaume!
Dokta: "Mungu wangu na ukafanyaje sasa?"
Jason: "Nilimuwekea dawa ya matone kwenye macho yake!"

๐Ÿ‘‹soma zaidi kuhusu๐Ÿ‘‰Udocta noma!!โœ…
happy-dog-smiley-emoticon.gif

๐Ÿ““ Posti za sasa๐Ÿ‘‡

A jamaa Wawili Walifika Stesheni

jamaa Wawili Walifika Stesheni, wakakuta Treni ndo kwanza inaondoka. Wakaanza Kuikimbiza. Mmoja akafanikiwa kupanda akaondoka… Yule aliyebaki akaanza kucheka sanaa mpaka machozi yakamtoka. Watu wakamuullza, unacheka nini sasa wakati umeachwa? Akawajibu: "kinachonichekesha, yule aliyepanda alikuwa ananisindikiza.

๐Ÿ‘‹soma zaidi kuhusu๐Ÿ‘‰jamaa Wawili Walifika Stesheniโœ…

A Je, ni kweli kwamba mtu anayekunywa pombe anaishi kwa muda mrefu kuliko yule ambaye hanywi kabisa?

Si kweli. Mpaka sasa wanasayansi hawajathibitisha kwamba
mtu anayekunywa pombe kidogo ndiye anayeishi kwa muda
mrefu. Kwa ujumla, watu wanaoishi katika hali ya usafi, afya
njema na maisha yenye furaha ndio wanaoishi kwa muda
mrefu kuliko wale ambao hawajijali kimwili na kiakili. Kimsingi,
kunywa pombe ni kutojijali. Unywaji wa pombe kwa kiasi hauna
madhara, lakini inakupasa kuwa macho katika unywaji huo ili
usizidishe kupita kiasi.

๐Ÿ‘‹soma zaidi kuhusu๐Ÿ‘‰Je, ni kweli kwamba mtu anayekunywa pombe anaishi kwa muda mrefu kuliko yule ambaye hanywi kabisa?โœ…

A WIVU HUU NI NOMA

***WIVU HUU NI NOMA
Mke: Hivi mume wangu una wanawake wangapi huko nje?
Mume: Kama nywele za kichwa changu.
Mke akachukua nguo zake akaondoka, Kufika njiani akakumbuka mumewe alikuwa na kipara Akaanza kurudi kwa mumewe.

๐Ÿ‘‹soma zaidi kuhusu๐Ÿ‘‰WIVU HUU NI NOMAโœ…

A Wanandoa wa Kijapani wakibishana

*Wanandoa wa Kijapan wakiwa wanabishana hadharani*

๐Ÿ‘‹soma zaidi kuhusu๐Ÿ‘‰Wanandoa wa Kijapani wakibishanaโœ…

A Je, watumiaji wa dawa za kulevya wanaweza kupata watoto?

Ndiyo, hii i ii inawezekana. Lakini ujue kwamba watu wanaotumia dawa za kulevya huwa dhaifu kisaikolojia na kiumbile kwa maana hiyo wanaweza wasiwe katika hali nzuri ya kupata watoto. Hawajali afya zao. Wanakosa hisia na hutumia muda mwingi kushiriki katika matumizi ya dawa za kulevya; pia hutumia fedha nyingi. Haya si mazingira mazuri ya kulea watoto.

๐Ÿ‘‹soma zaidi kuhusu๐Ÿ‘‰Je, watumiaji wa dawa za kulevya wanaweza kupata watoto?โœ…

A Madenge hakosi visa. Soma hii

:*=MADENGE
HAKOSI
VISA:*=
baada ya kumaliza form four baba akamwambia achague zawadi yoyote aipendayo
MADENGE: naomba pesa nikamuoe bibi maana siku nyingi amekuwa akiniita mchumba wake.
BABA: Shenzi, yule ni mama yangu mzazi huwezi kumuoa.
MADENGE: Mbona wewe umemuoa mama yangu mzazi sijasema kitu ww inakuuma? lazima nilipize kisasi ikikuuma muache mama yangu kila mtu akae na mamayake. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

๐Ÿ‘‹soma zaidi kuhusu๐Ÿ‘‰Madenge hakosi visa. Soma hiiโœ…

A Huyu traffic noma, kweli ulevi mbaya

Trafik mlevi alisimamisha gari Mama akapaki pembeni akaona trafik anakuja akiwa anayumba! Alipofika akasema, "naomba leseni yako."
Mama akasachi mkoba Wake akatoa kioo kidogo cha kujtazama akampatia! Trafik akakiangalia kwa dakika 2
Akasema sasa si ungesema kama wewe ni trafik mwenzangu!
Haya nenda
Ulevi sio mzuri
๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„

๐Ÿ‘‹soma zaidi kuhusu๐Ÿ‘‰Huyu traffic noma, kweli ulevi mbayaโœ…

A Kisa cha mzaramo na mchaga

MZARAMO V/S MCHAGA.
Mzaramo alitangaza anatibu magonjwa yooooooote
kwa tsh. 100,000/=
Na kama akishindwa kukutibu anakurudishia laki
yako nakukuongeza laki nyingine.
MCHAGA akaona hii fursa yakujipatia hela aiwezi mpita akaenda kutibiwa.
MZARAMO: "unaumwa nini?"
MCHAGA: "Sisikii ladha ya aina yoyote mdomoni kabisaaaa.."
MZARAMO: "sawa, toa laki kabisa.."
Mchaga akatoa.
MZARAMO akamuagiza msaidizi wake; "Naomba kikopo no.27 mpe anywe huyu.."
MCHAGA akanywa akatema faster; "Puh puu puu, Aisee huu si mkojo huu..?"
MZARAMO: "Umepona karibu tena.."
Mchaga aka-mind sana Kesho yake akarudi tena hakuamini ameliwa pesa yake.
MCHAGA: aisee nina tatizo la kumbukumbu nasahau
sanaaaaa.."
MZARAMO akamwambia "hakuna tabu, toa laki tukupe tiba..'
MCHAGA akatoa pesa akijua leo lazima afanikiwe..'
MZARAMO: "nesi naomba kikopo no.27.."
MCHAGA: "ASA CHALII ANGU HICHO SI CHA JANA CHA MKOJO HICHO AISEE..?"
MZARAMO: "UMEPONA KUMBUKUMBU UNAYO.

๐Ÿ‘‹soma zaidi kuhusu๐Ÿ‘‰Kisa cha mzaramo na mchagaโœ…

A Watu wana vimaneno

WATU WANA VIMANENO๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

๐Ÿ‘‹soma zaidi kuhusu๐Ÿ‘‰Watu wana vimanenoโœ…

A Angalia anachokisema Madenge sasa

MWALIMU kaingia darasani na kusema. "Wanaojijua wajinga wasimame".

๐Ÿ‘‹soma zaidi kuhusu๐Ÿ‘‰Angalia anachokisema Madenge sasaโœ…

A Nipishe huko

Demu: Hny mambo jamani!
Man: Safi nipe habari wangu wa moyo
Demu:Wafanya kazi gani vile wangu?
Man: Ni fundi wa kufunga ATM
Demu: Wow dont tel me i love you myn mwa mwa mwaaaaah
Man: Mbona wafurahia?
Demu: Nami natamani kuja kufanya kazi za kibenki.
Man: Itakua poa sana nami natamani pia
Demu: Hee si umesema wafanya kazi ya kufunga ATM?
Man: Hukunielewa mie ninafunga mashine na za kunulia condom kwenye bar
Demu: nipishe huko

๐Ÿ‘‹soma zaidi kuhusu๐Ÿ‘‰Nipishe hukoโœ…

A Je, Albino abadili/ageuze nywele rangi (die) au avae nywele bandia (wigi)?

Suala hili litatagemea na kila mtu anavyopendelea. Baadhi ya
watu hupendelea kuacha nywele zao katika hali asilia kama
walivyozaliwa, wengine wanapendelea kuzigeuza rangi kuwa
nyeupe au nyeusi na wengine wanapendelea kuvaa nywele bandia
zenye rangi nyeusi, kahawia au nyeupe. Jambo la msingi ni
wewe kujisikia vizuri. Kwa kadri unavyojisikia vizuri ni ndivyo
utakavyojiamini na ukijipenda na wengine watakupenda.

๐Ÿ‘‹soma zaidi kuhusu๐Ÿ‘‰Je, Albino abadili/ageuze nywele rangi (die) au avae nywele bandia (wigi)?โœ…

A Angalia alichojibu huyu mwanafunzi, Ungekua wewe ni mwalimu wake ungemfanyaje?

Mwanafunz alikuwa kila siku anachelewa shule, na kila siku alikuwa anachapwa, basi siku moja mwalimu akaona ngoja amuulize.
Mwalimu: Mbona unachelewa kila siku?
Mwanafunzi: Nakaa mbali mwalimu
Mwalimu: (huku ana hasira akauliza)Mbali mbinguni?
Mwanafunzi: Mbinguni kwa mbele๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

๐Ÿ‘‹soma zaidi kuhusu๐Ÿ‘‰Angalia alichojibu huyu mwanafunzi, Ungekua wewe ni mwalimu wake ungemfanyaje?โœ…

A Wasiopanda dalaladala wanakosa uhondo wa kauli hizi

1. nitakupa
2. Atapewa mbele
3. Hujapewa mbele?
4. Utapewa nyuma
5. Nitakupa nikikaa vizuri
6. Ngoja isimame nikupe
7. subiri asimamishe nikupe
8. hivi nlivyo kaa ntakupaje?
9. Utapewa tulia
10. Nikupe mara ngapi?

๐Ÿ‘‹soma zaidi kuhusu๐Ÿ‘‰Wasiopanda dalaladala wanakosa uhondo wa kauli hiziโœ…
pink-kitty-purring-hug-smiley-emoticon.gif

Majarida na vitabu kutoka Ackyshine eBook Shop

MBINU-YA-KILIMO-BORA-CHA-MBOGA.jpg
Kwa punguzo kutoka Tsh 7000/= hadi Tsh 1500/= kwa leo tuu!.
Jipatie ๐Ÿ“•Kitabu cha Mbinu za Kilimo Bora Cha Mboga๐ŸŒฟ๐Ÿ… kwa Tsh 1500/= tuu.
jua%20zaidi%2C%20dont%20delete

vichekesho.jpg
Kwa punguzo kutoka Tsh 6500/= hadi Tsh 1500/= kwa leo tuu!.
Jipatie ๐Ÿ“•Kitabu cha Vichekesho Vikuu Vikali 300+โœ” kwa Tsh 1500/= tuu.
jua%20zaidi%2C%20dont%20delete

.

happy-bunny-smiley-emoticon.gif
happy-times-smiley-emoticon.gif