.

πŸ‘‰ Je, watumiaji wa dawa za kulevya wanaweza kupata watoto?πŸ‘‡βœ”

images-20.jpeg

Imehaririwa na; Melkisedeck Leon Shine. Tarehe 11 Mar 2015 05:11. [Legal & Authority]


Je, watumiaji wa dawa za kulevya wanaweza kupata watoto?

Ndiyo, hii i ii inawezekana. Lakini ujue kwamba watu wanaotumia dawa za kulevya huwa dhaifu kisaikolojia na kiumbile kwa maana hiyo wanaweza wasiwe katika hali nzuri ya kupata watoto. Hawajali afya zao. Wanakosa hisia na hutumia muda mwingi kushiriki katika matumizi ya dawa za kulevya; pia hutumia fedha nyingi. Haya si mazingira mazuri ya kulea watoto.

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰Usisahau kushare posti hii kuhusu (Je, watumiaji wa dawa za kulevya wanaweza kupata watoto?).πŸ‘ Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasomeπŸ’―βœ”


kj.gif

.

.

b.gif

Mimi ni Melkisedeck Shine Mmiliki, Mwandishi /Mhariri. Karibu tena kila siku.

Blog nyingine maarufu ndani ya AckySHINE.com

| Vichekesho | Videos | Picha | Ujasiriamali | Mahusiano | Kilimo & Mifugo | Katoliki | Afya & Mapishi | Hadithi | Misemo | SMS