Je, watu huchanganyikiwa baada ya matumizi ya dawa za kulevya?

Je, watu huchanganyikiwa baada ya matumizi ya dawa za kulevya?

Je, watu huchanganyikiwa baada ya matumizi ya dawa za kulevya?

Kuna i imani potofu kwamba wote wenye matatizo ya akili wamekuwa hivyo kutokana na matumizi ya dawa za kulevya. Hii siyo kweli. Lakini dawa za kulevya nyingine huleta ulemavu wa akili. Hizi ni zile zii twazo vichagamsho kama kokaini na mirungi. Pale zitumiwapo kwa viwango vikubwa mtu huchanganyikiwa kwa muda wa siku chache au wiki nzima. Hii hutokea pia kwa bangi.

Usisahau kushare posti hii!! Share Facebook, Twitter bila kusahau Whatsapp!!

Toa maoni yako kuhusu, Je, watu huchanganyikiwa baada ya matumizi ya dawa za kulevya?. hapa..

Add a New Comment
or Sign in as Wikidot user
(will not be published)
- +

Kwa sasa endelea kusoma posti hizi zifuatazo;