Tafuta

.

👉 Je , vipimo vya Virusi vya UKIMWI vinasema ukweli?👇✔

Uwezekano wa kupata majibu ya uwongo ni mdogo sana, isipokuwa tu kama vipimo vitafanyika kipindi i chini ya miezi mitatu baada ya maambukizi ya Virusi vya UKIMWI na UKIMWI kukupata. Hata kama vipimo vilivyofanyika ni vya kuaminika, i itabidi uende kupima mara ya pili, kama una wasiwasi na matokeo ya hicho kipimo.

🙉🙉🙉Usisahau kushare posti hii kuhusu (Je , vipimo vya Virusi vya UKIMWI vinasema ukweli?).👍 Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasome💯✔

📕Kitabu cha SIRI ZA MWANAMKE👧👗👠 Kinamwelezea🔎Mwanamke🔍 kinagaubaga✔

👉JUA ZAIDI...

mtu.gif

.