Tafuta

.

Njia nzuri za kutafuta Mabesti mliopotezana Anaweza akawa na yeye anakutafuta .

πŸ‘‰SOMA ZAIDI HAPA...

πŸ‘‰ Je, uume una urefu kiasi gani? Ni kweli kwamba wanaume warefu wana uume mkubwa na wale wafupi wana uume mdogo?πŸ‘‡βœ”

Kwa kawaida urefu wa uume ambao haujasisimuka kwa wastani ni kati ya sentimeta 7 na 10, na uume uliosimama ni sentimeta 13 hadi 18. Si lazima kwamba maumbile ya mtu yawiane na viungo vya uzazi.

Na vile vile katika kujamii ana, jambo la vipimo vya uume si la msingi. Kilicho muhimu ni afya nzuri ya watu wote wawili na kupendana kwao wenye uhusiano. Urefu wa uume si muhimu, kwa sababu sehemu nyingi zinazomridhisha mwanamke haziko ndani ya uke. Kuridhika au kutoridhika wakati wa kujamii ana hakutegemei urefu wa uume!

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰Usisahau kushare posti hii kuhusu (Je, uume una urefu kiasi gani? Ni kweli kwamba wanaume warefu wana uume mkubwa na wale wafupi wana uume mdogo?).πŸ‘ Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasomeπŸ’―βœ”

Je, una marafiki mliopotezana? Watafute hapa Unaweza kuwatafuta moja kwa moja online

πŸ‘‰JUA ZAIDI...

nn.gif

.