.

πŸ‘‰ Je, ukinywa pombe unaongeza damu?πŸ‘‡βœ”

IMG_20170703_130432.jpg

Imehaririwa na; Melkisedeck Leon Shine. Tarehe 30 Jan 2016 14:12. [Legal & Authority]


Je, ukinywa pombe unaongeza damu?

Si kweli.

Pombe haiongezi damu, vitamini wala nguvu. Ukweli ni kwamba unywaji pombe kupita kiasi huvuruga ufyonzaji wa vitamini na madini kutoka kwenye chakula kuingia mwilini.

Vitamini ni muhimu kwa kuimarisha kinga ya mwili ambayo inasaidia kujikinga na magonjwa, pamoja na maradhi kama UKIMWI. Kwa hivyo, unatakiwa uhakikishe unakula matunda na mboga za majani kwa sababu vinakuongezea vitamini.

Soma%20Zaidi.gif Napendekeza uendelee kusoma kuhusu; JINSI YA KUTENGENEZA BATIKI.

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰Usisahau kushare posti hii kuhusu (Je, ukinywa pombe unaongeza damu?).πŸ‘ Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasomeπŸ’―βœ”

Nini maoni yako kuhusu, Je, ukinywa pombe unaongeza damu?? Niandikie hapa
Add a New Comment
or Sign in as Wikidot user
(will not be published)
- +
Kichekesho%20Kipya Usipitwe na Kampeni hii Ni kampeni endelevu ya kuhamasisha ushirikiano, umoja na kusaidiana katika jamii kwa watu wa matabaka yote
πŸ‘‰SOMA ZAIDI HAPA...Kizuri

IMG_20180109_192020.jpg

Ujumbe wangu kwako kwa sasa

"Siri kuu ya kuishinda hasira yako ni kusubiri kabla ya kutenda unapokuwa na hasira."

wadogo.gif

.

.

b.gif

Mimi ni Melkisedeck Shine Mmiliki, Mwandishi /Mhariri. Karibu tena kila siku.

MAWASILIANO | KUHUSU MWANDISHI

Blog nyingine maarufu ndani ya AckySHINE.com

| Vichekesho | Videos | Picha | Ujasiriamali | Mahusiano | Kilimo & Mifugo | Katoliki | Afya & Mapishi | Hadithi | Misemo | SMS