Je, Tanzania kuna wataalamu wanaosaidia watu wenye matatizo ya ulevi wa kupindukia?

Je, Tanzania kuna wataalamu wanaosaidia watu wenye matatizo ya ulevi wa kupindukia?

Je, Tanzania kuna wataalamu wanaosaidia watu wenye matatizo ya ulevi wa kupindukia?

Ndiyo. Hapa Tanzania kuna kitengo maalumu kinachojishughulisha
na masuala ya akili. Wataalamu mbalimbali hufanya kazi pamoja
kama vile matibabu ya magonjwa ya akili na wanasaikolojia.
Wanaustawi wa jamii ambao wana mbinu za kuelewa kiwango
cha unywaji pombe katika jamii kulingana na tamaduni
mbalimbali ambao pia wana utaalamu wa masuala ya utoaji
ushauri, wanaweza kushirikiana na wataalamu wa afya ambao
hufanya kazi hospitalini na kwenye jamii.

Usisahau kushare posti hii!! Share Facebook, Twitter bila kusahau Whatsapp!!

Toa maoni yako kuhusu, Je, Tanzania kuna wataalamu wanaosaidia watu wenye matatizo ya ulevi wa kupindukia?. hapa..

Add a New Comment
or Sign in as Wikidot user
(will not be published)
- +

Kwa sasa endelea kusoma posti hizi zifuatazo;