Tafuta

Ndugu zako wanapatikana hapa Wapo wanakusubiri uwatafute

πŸ‘‰SOMA ZAIDI HAPA...

πŸ‘‰ Je, Tanzania kuna Albino wangapi?πŸ‘‡βœ”

Idadi kamili ya Albino Tanzania haijulikani kwani hakuna
aliyewahesabu. Inakisiwa kufuatana na tafiti katika nchi
nyingine kama Nigeria na Afrika Kusini kuwa mtu 1 kati ya
4,000- 5,000 ni Albino hapa Tanzania. Namba hii ni kubwa mara
nne au mara tano ukilinganisha na Ulaya au Marekani ambako
tunapata Albino 1 kati ya watu 15,000-20,000. Hapa Tanzania
inakisiwa kuwa kuna Albino wapatao elfu kumi.

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰Usisahau kushare posti hii kuhusu (Je, Tanzania kuna Albino wangapi?).πŸ‘ Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasomeπŸ’―βœ”

uliyesoma.gif

.