Je, serikali imechukua hatua gani kudhibiti hali hii ya mauaji ya Albino? Tutaishi vipi?

Je, serikali imechukua hatua gani kudhibiti hali hii ya mauaji ya Albino? Tutaishi vipi?

Je, serikali imechukua hatua gani kudhibiti hali hii ya mauaji ya Albino? Tutaishi vipi?

Kifungu cha 14 cha Katiba ya Tanzania kinaeleza kwa ufasaha
kuwa: “Kila mtu ana haki ya kuishi na kulindwa utu wake katika
jamii kwa misingi ya sheria.” Hata Rais Kikwete katika hotuba
zake kwa Taifa za kila mwezi amewahi kukemea mauaji haya
mwaka 2008 kwa kusema; “ mauaji haya ni aibu na fedheha
kubwa kwa jamii yetu” pia “ukatili usio na sababu” na akaendelea
kusema, “ni lazima yakomeshwe mara moja.”
Serikali ya Tanzania kwa kushirikiana na taasisi na asasi za
kijamii wanaendelea kutoa mafunzo, taarifa na mazingira
yatakayowawezesha Albino kuishi maisha bora na yenye
mafanikio katika jamii.

Usisahau kushare posti hii!! Share Facebook, Twitter bila kusahau Whatsapp!!

Toa maoni yako kuhusu, Je, serikali imechukua hatua gani kudhibiti hali hii ya mauaji ya Albino? Tutaishi vipi?. hapa..

Add a New Comment
or Sign in as Wikidot user
(will not be published)
- +

Kwa sasa endelea kusoma posti hizi zifuatazo;