Tafuta

Marafiki zako mliopotezana wanakutafuta Wanakungoja kwa hamu sana uwatafute na wao

👉SOMA ZAIDI HAPA...

👉 Je, pombe ni moja ya sababu za kuenea kwa Virusi vya UKIMWI na VVU au magonjwa mengine yatokanayo na kujamiiana?👇✔

Matumizi mabaya ya pombe ndiyo yanayosababisha kuenea kwa
VVU au magonjwa mengine yatokanayo na kujamiiana. Tabia
ya ulevi ya kupindukia huwaweka watu katika hatari kubwa ya
kupata na kueneza magonjwa haya.
Pombe husababisha watu kusahau hatari ya kuwa na wapenzi
wengi na pia kufanya mapenzi na watu ambao hawafahamu hali
za afya zao. Husahau kujilinda wao wenyewe na wapenzi wao, kwa
kutumia kondomu na kusahau majukumu yao ya familia.

Watu wanaokunywa pombe kupita kiasi hudhoofisha mfumo wa
kinga mwilini, hivyo basi, virusi huingia miilini mwao kirahisi.
Kumbuka, bado hakuna tiba ya UKIMWI. Njia pekee ya kinga
ni kubadili tabia.

🙉🙉🙉Usisahau kushare posti hii kuhusu (Je, pombe ni moja ya sababu za kuenea kwa Virusi vya UKIMWI na VVU au magonjwa mengine yatokanayo na kujamiiana?).👍 Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasome💯✔

Unaweza kutafuta ndugu zako mliopotezana hapa Wanapatikana kirahisi kweli kwa sasa

👉SOMA ZAIDI HAPA...

utotoni.gif

.