Kama mama mjamzito atatumia dawa za kulevya basi humuathiri mtoto moja kwa moja. Mtoto aliye tumboni hulishwa kupitia damu ya mama yake. Kwa hiyo mama mjamzito anapotumia dawa hizo za kulevya, dawa huingia mwilini mwa mtoto anayekua. Matumizi ya dawa za kulevya pia huongeza uwezekano wa mimba kuharibika.


SIKU-YA-MWAKA-MPYAA.JPG

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰Usisahau kushare posti hii kuhusu (Je, nini kitatokea iwapo mwanamke atatumia dawa za kulevya wakati wa ujauzito?).πŸ‘ Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasomeπŸ’―βœ”

Makala nzuri kwa sasaπŸ‘‡

A

MWAKA-MPYA-TENA.JPG