Tafuta

Umerahisishiwa kutafuta mliopotezana Ni rahisi sana kutafuta wale uwapendao

πŸ‘‰SOMA ZAIDI HAPA...

πŸ‘‰ Je, nikioga mara baada ya kujamiiana, nitaweza kuwatoa wadudu wa ugonjwa wa zinaa na nisiambukizwe?πŸ‘‡βœ”

Hapana, huwezi kuwatoa wadudu wa magonjwa ya zinaa kwa njia ya kuoga baada ya kujamiiana. Wadudu hao hawakai sehemu ambazo unaweza ukawaondoa, wanaingia mwilini moja kwa moja na wanakaa kwenye damu. Mara wakishaingia kwenye damu, inabidi mtaalamu wa kiafya afanye uchunguzi na akutibu kikamilifu.

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰Usisahau kushare posti hii kuhusu (Je, nikioga mara baada ya kujamiiana, nitaweza kuwatoa wadudu wa ugonjwa wa zinaa na nisiambukizwe?).πŸ‘ Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasomeπŸ’―βœ”

Unaweza kutafuta ndugu zako mliopotezana hapa Wanapatikana kirahisi kweli kwa sasa

πŸ‘‰SOMA ZAIDI HAPA...

nn.gif

.