Tafuta

.

Tazama ni marafiki wangapi wanaokutafuta Wengi wanaweza wakawa wanakutafuta lakini hujui.

πŸ‘‰SOMA ZAIDI HAPA...

πŸ‘‰ Je, nikila na mtu mwenye Virusi vya UKIMWI, nitaambukizwa na virusi vya UKIMWI na UKIMWI?πŸ‘‡βœ”

Hapana, ukila na mtu mwenyemaambukizi ya Virusi vya UKIMWI huwezi kuambukizwa Virusi vya UKIMWI wala UKIMWI, isipokuwa pale ambapo wote wawili mna vidonda mdomoni na mnachangia kijiko kimoja. Lakini uwezekano huu ni mdogo sana, kiasi tunachoweza kusema kwamba huwezi kuambukizwa Virusi vya UKIMWI na UKIMWI ukila sahani moja na mtu aliyeambukizwa na virusi.
Lakini, kufuatana na kanuni za afya, ni vizuri zaidi kila mtu atumie vifaa vyake na baada ya kuvitumia avioshe kikamilifu.

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰Usisahau kushare posti hii kuhusu (Je, nikila na mtu mwenye Virusi vya UKIMWI, nitaambukizwa na virusi vya UKIMWI na UKIMWI?).πŸ‘ Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasomeπŸ’―βœ”

Mtafute ndugu yako hapa Na yeye anakutafuta sana

πŸ‘‰JUA ZAIDI...

Ndugu.gif

.