.

πŸ‘‰ Je, ni sahihi kuzungumza na wenzio/ marafiki juu ya uhusiano wangu wa kimapenzi?πŸ‘‡βœ”

images-19.jpeg

Imehaririwa na; Melkisedeck Leon Shine. Tarehe 15 Mar 2015 05:14. [Legal & Authority]


Je, ni sahihi kuzungumza na wenzio/ marafiki juu ya uhusiano wangu wa kimapenzi?

Kama unavyohusisha rafiki zako katika mihemuko mingine, inaeleweka kama utataka kuwashirikisha katika uhusiano wako wa kimapenzi. Hii i ii inaeleweka kabisa, ali mradi i uheshimu usiri na msimamo wa mpenzi wako.Hii i ii ina maana kuwa utawahusisha marafiki zako wa karibu na siyo hadharani na pia ni vema kama utafanya hivyo basi usitumie maneno ya kujigamba juu ya uzoefu au hata kukuza vitimbwi ambavyo kweli havikuwepo. Tumia maneno ambayo mpenzi wako naye angependa kuyasikia, yaani maneno ambayo hutaogopa kuyarudia kama angekuwepo na wewe hungejali kama yeye angetumia. Hii i ii itakusaidia kutunza siri na kuwa msiri.

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰Usisahau kushare posti hii kuhusu (Je, ni sahihi kuzungumza na wenzio/ marafiki juu ya uhusiano wangu wa kimapenzi?).πŸ‘ Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasomeπŸ’―βœ”


New-Microsoft-PowerPoint-Presentation-2.gif

.

.

b.gif

Mimi ni Melkisedeck Shine Mmiliki, Mwandishi /Mhariri. Karibu tena kila siku.

Blog nyingine maarufu ndani ya AckySHINE.com

| Vichekesho | Videos | Picha | Ujasiriamali | Mahusiano | Kilimo & Mifugo | Katoliki | Afya & Mapishi | Hadithi | Misemo | SMS