Tafuta

πŸ‘‰ Je, ni kweli ukinywa maziwa baada ya kuvuta sigara huwezi kudhurika?πŸ‘‡βœ”

Hapana. Hii si kweli kwa sababu maziwa hayawezi kuondoa
uharibifu uliosababishwa na nikotini mdomoni na kwenye
moyo, mapafu au kwenye ubongo. Kunywa maziwa baada ya
kuvuta sigara kunaweza kusaidia kupunguza mchomo tumboni
uliosababishwa na tindikaili.

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰Usisahau kushare posti hii kuhusu (Je, ni kweli ukinywa maziwa baada ya kuvuta sigara huwezi kudhurika?).πŸ‘ Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasomeπŸ’―βœ”

Slide2-mabesti-utotoni.PNG

.