Tafuta

πŸ‘‰ Je, ni kweli kwamba uvutaji wa bangi hupunguza mawazo?πŸ‘‡βœ”

Bangi hupunguza mawazo kwa muda mfupi kwani huleta hisia za furaha na utulivu. Lakini hata hivyo matatizo hubakia palepale na mara nyingi huongezeka hapo baadaye. Watu wanaovuta bangi huikimbia dunia halisi na huingia dunia ya ndoto kwa muda mfupi. Mara hisia zilizoletwa na bangi zinapoondoka, aghalabu matatizo huwa mabaya zaidi kuliko mwanzo. Matumizi ya bangi huahirisha na kuchelewesha tu utatuzi wa matatizo.

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰Usisahau kushare posti hii kuhusu (Je, ni kweli kwamba uvutaji wa bangi hupunguza mawazo?).πŸ‘ Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasomeπŸ’―βœ”

Ndugu.gif

.