Tafuta

👉 Je, ni kweli kwamba uvutaji wa bangi hukufanya uwe na nguvu?👇✔

Si kweli kabisa! Baada ya kuvuta bangi mtu hujiona kama jasiri sana na mwenye nguvu. Lakini madhara ya bangi ni kinyume na matarajio ya mtumiaji kwani mishipa husinyaa na ubongo hushindwa kufanya kazi zake vyema na kutoa uamuzi usio sahihi wa utendaji sahihi wa kazi za mwili.

🙉🙉🙉Usisahau kushare posti hii kuhusu (Je, ni kweli kwamba uvutaji wa bangi hukufanya uwe na nguvu?).👍 Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasome💯✔

utotoni.gif

.