Tafuta

Kutana na marafiki zako wa enzi hizo hapa Wewe ni miongoni mwa rafiki yao wa kipekee sana

👉SOMA ZAIDI HAPA...

👉 Je, ni kweli kwamba kuvuta bangi kunaongeza akili na uwezo wa kufikiri?👇✔

Hapana, hii si kweli! Vijana wanaoamini kwamba wana uwezo wa kufikiri baada ya kuvuta bangi kwa sababu inawapa hisia ya kuzoea mihemko ya kusikia vizuri au kufahamu kwa haraka. Lakini ni kawaida kwamba uvutaji wa bangi unaathiri shule, kazi na shughuli nyingine kinyume na matarajio ya mafanikio. Siku zote vijana wavutaji bangi wanapoteza ari shuleni au mafunzoni. Wanashindwa kuweka malengo ya maisha yao ya baadaye.

🙉🙉🙉Usisahau kushare posti hii kuhusu (Je, ni kweli kwamba kuvuta bangi kunaongeza akili na uwezo wa kufikiri?).👍 Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasome💯✔

Unaweza kuonana na watu mliopotezana hapa Bado wapo na wanakutafuta sana

👉SOMA ZAIDI HAPA...

nn.gif

.