Je, ni kweli kwamba kufanya ngono na bikira inaponyesha maambukizi?

Je, ni kweli kwamba kufanya ngono na bikira inaponyesha maambukizi?

Je, ni kweli kwamba kufanya ngono na bikira inaponyesha maambukizi?

Hapana, huwezi kupona Virusi vya UKIMWI au UKIMWI kwa kufanya ngono na bikira. Hakuna tiba ya maambukizi ya Virusi vya UKIMWI!
Pamoja na hayo, kama utakuwa na maambukizi ya magonjwa ya ngono, utaweka afya ya huyo bikira katika hatari kama ngono hiyo i tafanyika bila kinga.

Usisahau kushare posti hii!! Share Facebook, Twitter bila kusahau Whatsapp!!

Toa maoni yako kuhusu, Je, ni kweli kwamba kufanya ngono na bikira inaponyesha maambukizi?. hapa..

Add a New Comment
or Sign in as Wikidot user
(will not be published)
- +

Kwa sasa endelea kusoma posti hizi zifuatazo;