Je, ni kweli kuwa ulemavu unaweza kugundulika mara tu mtoto anapozaliwa?

Je, ni kweli kuwa ulemavu unaweza kugundulika mara tu mtoto anapozaliwa?

Je, ni kweli kuwa ulemavu unaweza kugundulika mara tu mtoto anapozaliwa?

Ni kweli kuwa daktari anaweza kufanya vipimo vya kugundua
kama mtoto aliye tumboni ni mwenye ulemavu au la. Baadhi ya
vipimo hivi ni “ultra sound” ambacho kinawezesha kuona picha ya
umbo la mtoto akiwa bado tumboni. Vipimo vingine vinaangalia
damu. Lakini ualbino hauwezi kugundulika kwa vipimo hivi.
Pia baada ya kuzaliwa daktari ana uwezo wa kutambua kama
mtoto ana ulemavu / hitilafu kama vile moyo, kwenye damu
kama vile “sickle cell”. Ualbino unaweza kugundulika mara tu
mtoto anapozaliwa au baada ya wiki chache.

Usisahau kushare posti hii!! Share Facebook, Twitter bila kusahau Whatsapp!!

Toa maoni yako kuhusu, Je, ni kweli kuwa ulemavu unaweza kugundulika mara tu mtoto anapozaliwa?. hapa..

Add a New Comment
or Sign in as Wikidot user
(will not be published)
- +

Kwa sasa endelea kusoma posti hizi zifuatazo;