.

Kichekesho%20Kipya Tangaza Biashara Online Tangazo lako litatangazwa kwenye Blog hiiπŸ‘‰Soma zaidi hapaKizuri

πŸ‘‰ Je, ni kweli kuwa madhara ya uvutaji moshi wa sigara yako ni kidogo kuliko yale yatokananyo na kuvuta moshi kutoka kwa mvutaji aπŸ‘‡βœ”

Uvutaji wa aina zote una madhara. Kama utavuta sigara na
kuvuta moshi kwa kutumia mdomo hadi kwenye mapafu yako
utapata madhara moja kwa moja kwenye viungo vyako.
Kama nitasimama karibu na mvutaji na kuvuta moshi, kuna
madhara ambayo siyo ya moja kwa moja. Kwa upande mwingine
kama jirani wa mvutaji unaweza kuvuta sumu nyingi itokanayo
na tumbaku kwa sababu hakuna kitu cha kuichuja. Sigara za
viwandani zina kishungi ambacho huchuja tindikali mbalimbali
zenye sumu, kama vile kaboni na asidi ya magamba ya miti,
ambazo zina madhara kwa mapafu.

mwandishi.gif

Usisahau kushare posti hii Kwenye Mitandao ya Kijamii

[NZURI HIIπŸ‘‰] VIDEO-FUPI

kj.gif

.

.

.

Mimi ni Melkisedeck Shine Mmiliki, Mwandishi /Mhariri.Soma%20Zaidi.gif

Melkisedeck%20Shine.gif