Tafuta

πŸ‘‰ Je, mwanaume anaweza akajua kama amempa msichana mimba siku ileile walipojamiiana?πŸ‘‡βœ”

Hapana, hamna njia ya kufahamu kama amempa msichana mimba siku i ileile wanapojamii ana. Inachukua muda kwa mwili kuonyesha dalili za mimba.
Msichana akitaka kwenda kliniki kupimwa mkojo, kwanza ahesabu tarehe i ipi alikuwa anategemea kupata hedhi yake.
Kama anakosa hedhi katika muda aliotegemea, i itambidi aende kliniki. Mimba i inaonekana kwenye kipimo cha mkojo wakati ambapo mwanamke alitakiwa kwenda mwezini. Msichana akienda kupimwa mkojo kabla, hali halisi kuhusiana na ujauzito haiwezi kutambuliwa.

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰Usisahau kushare posti hii kuhusu (Je, mwanaume anaweza akajua kama amempa msichana mimba siku ileile walipojamiiana?).πŸ‘ Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasomeπŸ’―βœ”

Slide3-mabestimliopotezana.PNG

.