.

πŸ‘‰ Je, mwanamke anajisikiaje akijamiiana na mwanaume aliyevaa kondomu au aliye β€œpeku”?πŸ‘‡βœ”

images-24.jpeg

Imehaririwa na; Melkisedeck Leon Shine. Tarehe 28 Mar 2016 03:12. [Legal & Authority]


Je, mwanamke anajisikiaje akijamiiana na mwanaume aliyevaa kondomu au aliye β€œpeku”?

Hatuwezi kusema mwanamke husikia raha gani akijamiiana na mwanaume aliyevaa kondomu au na mwanaume asiyevaa kondomu. Kila mtu ana upendeleo wake, lakini jambo la msingi katika kujamiiana ni hisia, hali ya kuelewana katika mapenzi na kiwango cha msisimko.
Wanawake wengine wanapendelea kujamiiana na mwanaume aliyevaa kondomu, kwa sababu hofu ya kupata mimba au kuambukizwa magonjwa ya zinaa haipo. Wanawake wengine wanapendelea kujamiiana bila kondomu. Lakini, pamoja na hatari ya kupata mimba, siku hizi kujamiiana bila kondomu kuna hatari ya kuambukizana magonjwa ya zinaa na hasa Virusi vya UKIMWI na UKIMWI. Kwa hiyo ni vizuri zaidi kutomwamini mtu yeyote mpaka mpimwe kliniki wote wawili kuwa ni wazima wa afya na kuendelea kuwa waaminifu wote wawili.

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰Usisahau kushare posti hii kuhusu (Je, mwanamke anajisikiaje akijamiiana na mwanaume aliyevaa kondomu au aliye β€œpeku”?).πŸ‘ Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasomeπŸ’―βœ”


Slide2-mabesti-utotoni.PNG

.

.

b.gif

Mimi ni Melkisedeck Shine Mmiliki, Mwandishi /Mhariri. Karibu tena kila siku.

Blog nyingine maarufu ndani ya AckySHINE.com

| Vichekesho | Videos | Picha | Ujasiriamali | Mahusiano | Kilimo & Mifugo | Katoliki | Afya & Mapishi | Hadithi | Misemo | SMS