Je, mtu mwenye kuonekana na afya nzuri, anaweza kuwa na virusi vya UKIMWI?

Mpendwa Msomaji, baada ya kukuandalia makala inayopendwa kuhusu; Hii ndio sababu kwa nini mabinti wengi hawaolewi, sasa nimekuandalia makala hii kuhusu;

Je, mtu mwenye kuonekana na afya nzuri, anaweza kuwa na virusi vya UKIMWI?.

Endelea kefurahia makala nzuri kila siku unapotembelea tovuti hii.

Je, mtu mwenye kuonekana na afya nzuri, anaweza kuwa na virusi vya UKIMWI?

By, Melkisedeck Shine.

Ndiyo, mtu anayeonekana na afya nzuri anaweza kuwa na virusi vya UKIMWI. Katika hatua ya mwanzo baada ya kuambukizwa mtu anakuwa na virusi vya UKIMWI kwenye damu lakini haonyeshi dalili zozote za kuumwa. Hatua hii i ii inaweza kuchukua zaidi ya miaka kumi! Hii ni hatari sana, kwa sababu kama unajamii ana na mtu mwenye kuonekana na afya nzuri, lakini ndani ya mwili tayari anavyo virusi vya UKIMWI, anaweza kukuambukiza.
Njia pekee ya kuwa na uhakika kama mtu ameambukizwa na VVU au la ni kwa njia ya kupima damu katika Vituo maalamu vya kupima au hosipitalini. Kwa hiyo, kujamii ana bila kujikinga kwa kutumia kondomu i inawezekana kuhatarisha maisha yako, hata kama mpenzi wako ni mtu mwenye kuonekana na afya nzuri.

Unaweza kusoma makala mpya nzuri kila unapotembelea website hii wakati wowote. Baada ya kusoma makala hii kuhusu; Je, mtu mwenye kuonekana na afya nzuri, anaweza kuwa na virusi vya UKIMWI?, sasa endelea kusoma makala hizi nyingine nzuri nilizokuandalia;

FURSA.PNG

Fursa Ya Kazi Na Ajira Yenye Malipo Mazuri

Au soma zaidi hapa

.

SALAMU-JIONI98HBS.JPG
Slide2-utotoni.GIF