.

๐Ÿ‘‰ Je, magonjwa ya zinaa yanaweza kuenea ukitoa uume kabla ya kumwaga mbegu?๐Ÿ‘‡โœ”

Ndiyo, magonjwa ya zinaa yanaweza kuenea, hata ukitoa uume kabla ya kumwaga mbegu. Mwenye magonjwa ya zinaa mara nyingi ana michubuko midogo au vidonda sehemu za siri na wadudu wabaya wanaweza kutoka na kuingia mwilini kwa urahisi. Hivyo, maambukizi ya magonjwa ya zinaa yanaweza kutokea hata kabla ya kumwaga mbegu.

tafuta-rafiki.gif

Usisahau kushare posti hii Kwenye Mitandao ya Kijamii

tafuta-ndugu.gif

.

.

.

Mimi ni Melkisedeck Shine Mmiliki, Mwandishi /Mhariri.Soma%20Zaidi.gif

Melkisedeck%20Shine.gif