Je, magonjwa ya zinaa yanaweza kuenea ukitoa uume kabla ya kumwaga mbegu?

afya-mapishi-na-lishe.png

Je, magonjwa ya zinaa yanaweza kuenea ukitoa uume kabla ya kumwaga mbegu?

Ndiyo, magonjwa ya zinaa yanaweza kuenea, hata ukitoa uume kabla ya kumwaga mbegu. Mwenye magonjwa ya zinaa mara nyingi ana michubuko midogo au vidonda sehemu za siri na wadudu wabaya wanaweza kutoka na kuingia mwilini kwa urahisi. Hivyo, maambukizi ya magonjwa ya zinaa yanaweza kutokea hata kabla ya kumwaga mbegu.

Usisahau kushare posti hii!! Share Facebook, Twitter bila kusahau Whatsapp!!

Toa maoni yako kuhusu, Je, magonjwa ya zinaa yanaweza kuenea ukitoa uume kabla ya kumwaga mbegu?. hapa..

Add a New Comment
or Sign in as Wikidot user
(will not be published)
- +
picha-kali.png
familia-mapenzi-na-mahusiano.png

Kwa sasa endelea kusoma posti hizi zifuatazo;

uchumi-biashara-na-ujasiriamali.png
vichekesho-bomba-vya-siku.png
elimu-sayansi-na-tekinolojia.png