Tafuta

Tafuta ndugu zako hapa Utawapata kirahisi zaidi

πŸ‘‰SOMA ZAIDI HAPA...

πŸ‘‰ Je, kuna wataalamu Tanzania wanaowasaidia watu wenye matatizo ya dawa za kulevya?πŸ‘‡βœ”

Ndiyo. Kuna mashirika yasiyo ya kiserikali (AZISE)
yanayotoa ushauri nasaha kwa watumiaji wa dawa za
kulevya. Katika AZISE hizi kuna wataalamu wenye
kusikiliza na kujaribu kutafuta ufumbuzi wa matatizo yako. Kama mtu anategemea dawa za kulevya au anahitaji msaada wa kitaalamu, basi kuna vituo vya kuwasaidia kwenye hospitali za serikali, (Anwani zao ziko mwisho wa kitabu kwa mawasiliano zaidi).

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰Usisahau kushare posti hii kuhusu (Je, kuna wataalamu Tanzania wanaowasaidia watu wenye matatizo ya dawa za kulevya?).πŸ‘ Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasomeπŸ’―βœ”

Umerahisishiwa kutafuta mliopotezana Ni rahisi sana kutafuta wale uwapendao

πŸ‘‰SOMA ZAIDI HAPA...

tafuta-rafiki.gif

.