Je, kuna vipimo ambavyo vinaweza kugundua hali ya kuwepo kwa ualbino wakati kichanga kikiwa bado tumboni?

familia-mapenzi-na-mahusiano.png

Je, kuna vipimo ambavyo vinaweza kugundua hali ya kuwepo kwa ualbino wakati kichanga kikiwa bado tumboni?

Hakuna kipimo rahisi cha kuwezesha kuonyesha kama mama
mjamzito amebeba kinasaba cha ualbino. Lakini uwezekano upo,
kama wazazi watakuwa wamepata mtoto Albino. Uwezekano wa
kujua kama mimba inayofuatia kichanga kitakuwa na ualbino kwa
kutumia kipimo maalamu kinachovuta maji yaliyo kwenye mji wa
mimba na kupima hayo majimaji kuona kama kuna kinasaba cha
Albino. Hata hivyo, vipimo hivi ni vya gharama kubwa na kwa
kiasi kikubwa kwa sasa vinapatikana, katika hospitali kubwa
maalumu za nchi zilizoendelea (Ulaya, Marekani na kadhalika).

Usisahau kushare posti hii!! Share Facebook, Twitter bila kusahau Whatsapp!!

Toa maoni yako kuhusu, Je, kuna vipimo ambavyo vinaweza kugundua hali ya kuwepo kwa ualbino wakati kichanga kikiwa bado tumboni?. hapa..

Add a New Comment
or Sign in as Wikidot user
(will not be published)
- +
elimu-sayansi-na-tekinolojia.png
familia-mapenzi-na-mahusiano.png

Kwa sasa endelea kusoma posti hizi zifuatazo;

picha-kali.png
vichekesho-bomba-vya-siku.png
uchumi-biashara-na-ujasiriamali.png