Blog ya Waswahili

Blog ya jamii ndani ya mtandao wa AckySHINE

.

Kichekesho%20Kipya Tafuta ndugu zako msiojuana hapa Unaweza ukawajua kwa kujieleza na kuwasoma๐Ÿ‘‰Soma zaidi hapaKizuri

๐Ÿ‘‰ Je, kuna madhara msichana akifanya mapenzi wakati akiwa katika hedhi (siku zake)?๐Ÿ‘‡โœ”

Kufanya mapenzi wakati msichana yuko katika hedhi hakuna madhara yoyote kiafya kwa mwanaume wala mwanamke kama kati yao hakuna mwenye ugonjwa wa zinaa.

Ila kama mmoja wapo ana ugonjwa wa zinaa, huo ni wakati wa hatari sana kwa maambukizi, kwa sababu utando ndani ya mfuko wa uzazi unabomoka na mlango wa mfuko wa uzazi unakuwa wazi. Hivyo ni rahisi sana vijidudu vya magonjwa mbalimbali kuingia mwilini mwa msichana. Vilevile kama msichana tayari ameambukizwa na magonjwa ya zinaa, katika damu yake viko vijidudu vingi vinavyoweza kumwambukiza mvulana.

Kwa sababu mara nyingi ni vigumu kufahamu kama kati ya wapenzi hakuna mwenye ugonjwa wa zinaa, haishauriwi kujamii ana wakati wa hedhi na kama ndivyo basi kondomu i tumike.

Katika jamii nyingi kujamii ana wakati mwanamke yuko wenye hedhi haikubaliki kwa sababu ya mila au dini.

mtu.gif

Usisahau kushare posti hii Kwenye Mitandao ya Kijamii

[NZURI HII๐Ÿ‘‰] Mtafute ndugu yako mliopotezana

karibu-sn.gif

.

.

.

Mimi ni Melkisedeck Shine Mmiliki, Mwandishi /Mhariri.Soma%20Zaidi.gif

Melkisedeck%20Shine.gif