Ackyshine Kiswahili Β» Dondoo Za AckySHINE Β» Je, kuna madhara msichana akifanya mapenzi wakati akiwa katika hedhi (siku zake)?

Tafuta

πŸ‘‰ Je, kuna madhara msichana akifanya mapenzi wakati akiwa katika hedhi (siku zake)?πŸ‘‡βœ”

Kufanya mapenzi wakati msichana yuko katika hedhi hakuna madhara yoyote kiafya kwa mwanaume wala mwanamke kama kati yao hakuna mwenye ugonjwa wa zinaa.

Ila kama mmoja wapo ana ugonjwa wa zinaa, huo ni wakati wa hatari sana kwa maambukizi, kwa sababu utando ndani ya mfuko wa uzazi unabomoka na mlango wa mfuko wa uzazi unakuwa wazi. Hivyo ni rahisi sana vijidudu vya magonjwa mbalimbali kuingia mwilini mwa msichana. Vilevile kama msichana tayari ameambukizwa na magonjwa ya zinaa, katika damu yake viko vijidudu vingi vinavyoweza kumwambukiza mvulana.

Kwa sababu mara nyingi ni vigumu kufahamu kama kati ya wapenzi hakuna mwenye ugonjwa wa zinaa, haishauriwi kujamii ana wakati wa hedhi na kama ndivyo basi kondomu i tumike.

Katika jamii nyingi kujamii ana wakati mwanamke yuko wenye hedhi haikubaliki kwa sababu ya mila au dini.

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰Usisahau kushare posti hii kuhusu (Je, kuna madhara msichana akifanya mapenzi wakati akiwa katika hedhi (siku zake)?).πŸ‘ Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasomeπŸ’―βœ”


"Tunatakiwa tujenge uhodari na uwezo utakaotusaidia kutumia fursa zilizo wazi mbele yetu."

Slide3-mabestimliopotezana.PNG

Expert available for Hire

Kijitabu cha Picha Kali Kina picha Nzuri za kufurahisha .
Soma%20Zaidi.gif