.

Kichekesho%20Kipya Je, unatoa misaada kwa jamii? Tangaza kituo chako bure hapa
πŸ‘‰SOMA ZAIDI HAPA...Kizuri

πŸ‘‰ Je, kuna madhara gani kama mtu anakaa muda mrefu bila kujamiiana?πŸ‘‡βœ”

IMG_20180109_192553.jpg

Imehaririwa na; Melkisedeck Leon Shine. Tarehe 24 Mar 2017 19:08. [Legal & Authority]


Je, kuna madhara gani kama mtu anakaa muda mrefu bila kujamiiana?

Ukweli ni kwamba hakuna madhara yoyote ya kiafya iwapo utakaa muda mrefu bila ya kujamiiana. Viungo vya uzazi havidhuriki wala sehemu nyingine yoyote katika mwili wako. Mwanamke na mwanaume wakianza kujamiiana baada ya kukaa muda mrefu watapata raha na starehe kama kawaida.

Kuna uvumi potofu kwamba kutofanya mapenzi kunasababisha kuwa na chunusi usoni au sehemu za siri, au hata kuchanganyikiwa kiakili. Siyo kweli kwamba hali hiyo inasababishwa na kutojamiiana bali husababishwa na mambo mengine kabisa.

Elewa kwamba kutojamiiana kabisa hakuna madhara yoyote. Lakini kama tulivyosema awali kujamiiana kunaweza kuleta matatizo mengi kama mimba isiyotarajiwa, magonjwa ya zinaa ikiwa pamoja maambukizi ya virusi vya UKIMWI na UKIMWI wenyewe.

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰Usisahau kushare posti hii kuhusu (Je, kuna madhara gani kama mtu anakaa muda mrefu bila kujamiiana?).πŸ‘ Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasomeπŸ’―βœ”

Nini maoni yako kuhusu, Je, kuna madhara gani kama mtu anakaa muda mrefu bila kujamiiana?? Niandikie hapa
Add a New Comment
or Sign in as Wikidot user
(will not be published)
- +

MELKISEDECK-SHINE.jpg

Ujumbe wangu kwako kwa sasa

"Siri kuu ya kuishinda hasira yako ni kusubiri kabla ya kutenda unapokuwa na hasira."

kj.gif

.

.

b.gif

Mimi ni Melkisedeck Shine Mmiliki, Mwandishi /Mhariri. Karibu tena kila siku.

MAWASILIANO | KUHUSU MWANDISHI

Blog nyingine maarufu ndani ya AckySHINE.com

| Vichekesho | Videos | Picha | Ujasiriamali | Mahusiano | Kilimo & Mifugo | Katoliki | Afya & Mapishi | Hadithi | Misemo | SMS