.

πŸ‘‰ Je, kuna dawa zozote za kutibu magonjwa ya zinaa?πŸ‘‡βœ”

IMG_20170703_131010.jpg

Imehaririwa na; Melkisedeck Leon Shine. Tarehe 07 Mar 2015 06:02. [Legal & Authority]


Je, kuna dawa zozote za kutibu magonjwa ya zinaa?

Magonjwa mengi ya zinaa yana dawa za kutibu, kwa mfano: kisonono, kaswende, klamdia, kankroidi au utando mweupe. Lakini hata hivyo ni lazima upate matibabu mapema. Ukisubiri muda mrefu bila ya kutibiwa, inawezekana kwamba via vya uzazi vikapata madhara ya kudumu, kwa mfano, kuziba kwa mirija ya kupitisha mayai.

Ni muhimu sana kwenda kupimwa mapema, wewe pamoja na mpenzi wako. Kwa sababu ukitibiwa peke yako, wakati mpenzi wako bado anaumwa, atakuambukiza tena mara tu ukijamiiana naye.
Magonjwa mengi ya zinaa yanatibika na kupona kabisa.

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰Usisahau kushare posti hii kuhusu (Je, kuna dawa zozote za kutibu magonjwa ya zinaa?).πŸ‘ Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasomeπŸ’―βœ”


tafuta-rafiki.gif

.

.

b.gif

Mimi ni Melkisedeck Shine Mmiliki, Mwandishi /Mhariri. Karibu tena kila siku.

Blog nyingine maarufu ndani ya AckySHINE.com

| Vichekesho | Videos | Picha | Ujasiriamali | Mahusiano | Kilimo & Mifugo | Katoliki | Afya & Mapishi | Hadithi | Misemo | SMS