Ni kweli kwamba kuna sehemu za mwili ambazo zikiguswa huleta msisimko mwilini. Kisimi (au kinembe) ni moja ya sehemu hizo kwa mwanamke, kwa sababu pale kuna mkusanyiko mkubwa wa mishipa ya fahamu. Kusugua kisimi ni njia salama ya kumaliza ashiki ya kutaka kujamii ana. Hakuna madhara yoyote ya kiafya wala kiakili kama kisimi kinasuguliwa.


Slide1-mabest-skull.PNG

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰Usisahau kushare posti hii kuhusu (Je, kisimi cha mwanamke kikisuguliwa kwa vidole atafikia mshindo? Na kuna madhara yoyote ?).πŸ‘ Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasomeπŸ’―βœ”

Makala nzuri kwa sasaπŸ‘‡

A

SALAMU-MPENZI-MCHANA-33097HG34MX.JPG