Je, kama mwanamke na mwanaume wanapata watoto wa jinsia moja tu, ni kosa la nani?

By, Melkisedeck Shine.

familia-mapenzi-na-mahusiano.png

Je, kama mwanamke na mwanaume wanapata watoto wa jinsia moja tu, ni kosa la nani?

Hakuna mwenye kosa, kwa sababu jinsia ya mtoto i inategemea na bahati na hamna uwezekano wa kupanga kuzaa aina fulani ya mtoto. Tulivyoona juu ni mwanaume ndiye aliye na aina mbili za mbegu. Aina moja husababisha kutokea mtoto wa kike na aina nyingine mtoto wa kiume. Mwanaume hana uwezo wa kuhakikisha achangie aina ya mbegu gani. Kwa hiyo, hata kama ni mwanaume anayeyakinisha jinsia ya mtoto, hana kosa, kwa sababu hana uwezo wa kuamua achangie mbegu ya aina gani.


USIKOSE HII๐Ÿ‘‰ Mapishi ya wali wa karoti na nyama

Endelea kusoma makala hizi zifuatazo;

a.gif Inakuwaje mtoto anakuwa wa kike au wa kiume?

Mwili wa mwanaume unatengeneza aina mbili za mbegu. Kuna mbegu zinazokua kuwa mtoto wa kiume na kuna mbegu zinazokua kuwa mtoto wa kike. Ile mbegu inayofika kwenye yai kwanza, inarutubisha yai na ni wakati uleule, jinsia ya mtoto i inatokea. Uwezekano wa kumpata mtoto wa kike au wa kiume unafanana, na hii ni kweli katika nchi zote duniani… soma zaidi

a.gif Je, ni madhara gani atapata mama mjamzito endapo atajamiiana na mwenzi wake?

Kama kati ya mwanamke na mwanaume hakuna mwenye magonjwa ya zinaa, hakuna madhara yoyote kwa mwanamke mwenye mimba kujamii ana na mwenzi wake. Mfuko wa mimba hufunga kabisa na kifuko kinamzunguka mtoto vizuri, na hivyo hakuna uwezekano wowote wa mbegu za kiume kupenya na kumfikia mtoto.
Inashauriwa lakini wakati wa kujamii ana na mwanamke mjamzito tumbo lisigandamizwe sana. Wanawake wengine hawana hamu kubwa ya kujamii ana hasa mwishoni mwa ujauzito, na mwanaume anashauriwa kuheshimu hisia hizi za mwanamke.
Kama mwanaume atakuwa ameambukizwa magonjwa ya zinaa wakati wa kujamii ana, hii i ii inaweza kuwa hatari sana kwa mwanamke na pia kwa mtoto tumboni. Wakijamii ana mume na mke wakati wa ujauzito, lazima wawe na uhakika kwamba hamna mwenye magonjwa ya zinaa au watumie kondomu kwa ajili ya kinga. Iwapo watakuwa na wasiwasi wowote, wamwone daktari kwa uchunguzi… soma zaidi

a.gif Wakati wa kutunga mimba ni mbegu moja tu ya kiume inayopenya kwenye yai, mbegu nyingine zinaenda wapi?

Ni kweli kwamba wakati wa kujamii ana na kutunga mimba ni mbegu moja tu ya kiume i inayopenya kwenye yai. Mbegu zilizosalia hufa na kutoka kwa kupitia ukeni kwa sababu hazina kazi tena. Inashauriwa kwamba watu wanapomaliza kujamii ana, wasafishe vizuri sehemu zao za uzazi… soma zaidi

[Msemo wa Leo] ๐Ÿ‘‰Biashara ya maisha

[Jarida la Bure] ๐Ÿ‘‰Kijitabu cha Picha Kali

[Hadithi Nzuri] ๐Ÿ‘‰Kisa cha baba mzee na mwanae

[SMS kwa Umpendaye] ๐Ÿ‘‰Ujumbe wa salamu kwa mpenzi kumjulia hali

a.gif Jinsi ya kupika mboga ya majani ya mashona nguo

Mashonanguo mkono 1
Tui la nazi kikombe 1
Karanga zilizosagwa kikombe ยฝ
Mafuta vijiko vikubwa 4
Kitunguu 1
Nyanya ndogo 2
Chumvi kiasi.. soma zaidi

a.gif Akizungumza kwa lugha - Nini, nini, lini?

Akizungumza kwa lugha -
Nini, nini, lini?.. soma zaidi

a.gif Mapishi ya Pilau ya nyama ya ng'ombe na kachumbari

Mchele (rice vikombe 3)
Nyama ya ng'ombe (beef 1/2 kilo)
Viazi mbatata (potato 3)
Vitunguu maji (onions 3)
Kitunguu swaum (garlic cloves 4)
Tangawizi iliyosagwa (ginger kiasi)
Hiliki nzima (cardamon 4)
Karafuu (clove 4)
Pilipili mtama (blackpepper 4)
Amdalasini (cirnamon stick 1)
Binzari nyembamba nzima(cumin seeds 1/2 ya kijiko cha chai)
Binzari nyembamba ya kusaga (ground cumin 1 kijiko cha chai)
Chumvi (salt)
Mafuta (vegetable oil)
Nyanya (fresh tomato 3)
Limao (lemon 1)
Pilipili (chilli 1)
Hoho (green pepper).. soma zaidi

a.gif Jinsi ya kufuga mbuzi kisasa

Kufuga Mbuzi Kisasa ni kama Ifuatavyo;.. soma zaidi

a.gif Huu ndio ukichaa wa mapenzi

๐Ÿ”ตKushika mimba ukadhani ni mtego ili uolewe.
๐Ÿ”ต Kutafuta mkamilifu wakati tabia zako tunakuvumilia tu.
๐Ÿ”ต Kutafuta msichana mrembo wakati huna pesa.
๐Ÿ”ต Kutafuta mke mwema kanisani wakati we unaenda kanisani wakati wa maombi ya Christmas tu… soma zaidi

uchumi-biashara-na-ujasiriamali.png

.

uchumi-biashara-na-ujasiriamali.png
KADI-SHUKRANI-MZAZI.JPG
familia-mapenzi-na-mahusiano.png

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.