Tafuta

Kutana na marafiki zako hapa Usijali wapo kwa ajili yako

👉SOMA ZAIDI HAPA...

👉 Je, inachukua muda gani tangu mtu aambukizwe na VVU hadi vionekane kwenye damu?👇✔

Inakadiriwa huchukua miezi mitatu tangu kuambukizwa na VVU hadi i virusi hivyo vionekane kwenye damu. Itakuwa kazi bure kukimbilia kwenda kupima VVU mara tu baada ya kufanya ngono isiyo salama. Inabidi kusubiri miezi mitatu kabla ya kwenda kwenye Ushauri Nasihi na Upimaji wa Hiari.

Je, watu wote wenye virusi vya UKIMWI watapata UKIMWI? Na kama ndiyo, itachukua muda gani?

Ndiyo, baada ya muda fulani karibia watu wote wenye maambukizi ya Virusi vya UKIMWI wataanza kuugua UKIMWI. Lakini muda kati ya kuambukizwa na kuanza kuugua UKIMWI unatofautiana. Wengine wanaishi muda mrefu. Kwa wastani watu wazee wazima wanaendelea kuishi miaka kumi kabla ya kupata dalili za awali. Watoto wanaopata virusi kabla ya umri wa miaka mitano kwa wastani wanendelea kuishi mwaka moja hadi mitatu.
Hakuna jibu la ujumla ni miaka mingapi ataishi tena mtu aliyeambukizwa na virusi vya UKIMWI. Idadi ya miaka ya kuishi baada ya kuambukizwa i inategemea vitu vingi, kinga asilia i inayomkinga mtu, hali ya lishe ya mtu, wakati muafaka na usahihi katika kutibu magonjwa nyemelezi na wakati muafaka na usahihi wa kutumia dawa za kupunguza makali ya UKIMWI kwa Kiingereza Anti-Retro-Viral drugs (ARVS )

🙉🙉🙉Usisahau kushare posti hii kuhusu (Je, inachukua muda gani tangu mtu aambukizwe na VVU hadi vionekane kwenye damu?).👍 Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasome💯✔

Kutana na mabesti zako wa shule hapa Wewe pia ni besti wao mzuri sana

👉SOMA ZAIDI HAPA...

Marafiki-wa-enzi.GIF

.