Tafuta

Marafiki zako mliopotezana wako hapa Wapo kukutafuta wewe uliyepotezana

πŸ‘‰SOMA ZAIDI HAPA...

πŸ‘‰ Je, gongo na sigara husaidia uyeyushaji wa chakula?πŸ‘‡βœ”

Ni imani na fikra potofu kwamba, ukinywa gongo au kuvuta
sigara kwa kiasi kidogo baada ya chakula itasaidia kuyeyusha
baadhi ya vyakula vya mafuta. Pombe inaweza hata kupunguza
mtiririko wa kawaida wa kimiminika muhimu kwa uyeyushaji wa
chakula (tindikali) na hivyo kuchelewesha kuliko kurahisisha
uyeyushaji wa chakula.
Nikotini ya sigara kwa upande mwingine inaongeza kazi katika
utumbo mpana na hivyo kurahisisha uyeyushaji wa chakula.
Lakini kwa upande mwingine nikotini huchochea utengenezaji
wa tindikali tumboni ambayo husababisha maumivu ya tumbo.

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰Usisahau kushare posti hii kuhusu (Je, gongo na sigara husaidia uyeyushaji wa chakula?).πŸ‘ Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasomeπŸ’―βœ”

Marafiki zako wa enzi ukiwa mdogo wanakutafuta hapa Wanataka mkumbukie furaha na raha za utotoni

πŸ‘‰SOMA ZAIDI HAPA...

Slide3-mabestimliopotezana.PNG

.