Je, Albino abadili/ageuze nywele rangi (die) au avae nywele bandia (wigi)?

vichekesho-bomba-vya-siku.png

Je, Albino abadili/ageuze nywele rangi (die) au avae nywele bandia (wigi)?

Suala hili litatagemea na kila mtu anavyopendelea. Baadhi ya
watu hupendelea kuacha nywele zao katika hali asilia kama
walivyozaliwa, wengine wanapendelea kuzigeuza rangi kuwa
nyeupe au nyeusi na wengine wanapendelea kuvaa nywele bandia
zenye rangi nyeusi, kahawia au nyeupe. Jambo la msingi ni
wewe kujisikia vizuri. Kwa kadri unavyojisikia vizuri ni ndivyo
utakavyojiamini na ukijipenda na wengine watakupenda.

Usisahau kushare posti hii!! Share Facebook, Twitter bila kusahau Whatsapp!!

Toa maoni yako kuhusu, Je, Albino abadili/ageuze nywele rangi (die) au avae nywele bandia (wigi)?. hapa..

Add a New Comment
or Sign in as Wikidot user
(will not be published)
- +
familia-mapenzi-na-mahusiano.png
afya-mapishi-na-lishe.png

Kwa sasa endelea kusoma posti hizi zifuatazo;

familia-mapenzi-na-mahusiano.png
elimu-sayansi-na-tekinolojia.png
vichekesho-bomba-vya-siku.png