Tafuta

.

Kijitabu cha Picha Kali Kina picha Nzuri za kufurahisha .

πŸ‘‰SOMA ZAIDI HAPA...

πŸ‘‰ Iwapo mtu mzima amejamiiana na mtoto na wote wawili wamekubaliana.πŸ‘‡βœ”

Ni kweli hiyo ni dhuluma na inaitwa unyanyasaji wa kijinsia kwa
mtoto. Watoto wanaweza kushawishiwa kwa kutumia hila kwa
mtu mzima anayejaribu kuwavuta ili waweze kujamiiana naye. Na
zaidi wanaweza wasielewe matatizo au madhara watakayopata
kutokana na kujamiiana kwa afya zao pia wanaweza wasiweze
kufanya maamuzi sahihi kwa vile hawana habari.
Mtoto hana uwezo wa kuchunguza mambo katika akili yake
kabla ya kujamiiana.
Uhusiano unaweza pia usiwe sawa kwa vile yule mtu mzima ana
uwezo na nguvu juu ya yule mtoto. Kwa hiyo itakuwa vigumu
kwa mtoto kujadiliana juu ya matumizi ya kondomu .Hizi ndiyo
sababu kwa nini watoto wanahitaji ulinzi maalum. Ni kosa
kujamiiana na msichana wa umri chini ya miaka 18.
Iwapo mtu anajamiiana na msichana chini ya miaka 18 mtu
huyo anawajibika kisheria, katenda kosa hata kama msichana
amempa ridhaa yake.

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰Usisahau kushare posti hii kuhusu (Iwapo mtu mzima amejamiiana na mtoto na wote wawili wamekubaliana.).πŸ‘ Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasomeπŸ’―βœ”

Njia nzuri za kutafuta Mabesti mliopotezana Anaweza akawa na yeye anakutafuta

πŸ‘‰JUA ZAIDI...

Slide2-mabesti-utotoni.PNG

.