.

Kichekesho%20Kipya Mtafute ndugu yako usiyewahi kumuona hapa Na yeye anakutafuta sana hapa
πŸ‘‰SOMA ZAIDI HAPA...Kizuri

πŸ‘‰ Iwapo msichana atajamiiana wakati wa siku salama anaweza kuepuka kupata mimba?πŸ‘‡βœ”

IMG_20180125_211540.jpg

Imehaririwa na; Melkisedeck Leon Shine. Tarehe 30 Jan 2016 13:52. [Legal & Authority]


Iwapo msichana atajamiiana wakati wa siku salama anaweza kuepuka kupata mimba?

Siku salama ni siku ambazo hakuna yai ambalo lipo tayari kwa kurutubishwa. Iwapo mwanamke atajamii ana katika siku salama tu, yaani wakati ambapo hakuna yai lililo tayari kurutubishwa, anaweza asipate mimba. Hata hivyo, i inatakiwa ajue kwa uhakika lini yai linakuwa tayari kurutubishwa.
Kwa vile wasichana wengi mzunguko wa siku zao hubadilika kila wakati, ni vigumu kujua kama kuna yai ambalo lipo tayari kwa kurutubishwa. Mzunguko na siku za hedhi za msichana unaweza kuathirika na mfadhaiko, huzuni, maradhi, safari au mabadiliko mengine katika maisha ya msichana. Hata kama msichana atakuwa na mzunguko ambao haubadilikibadiliki anaweza kupata mabadiliko ya ghafla katika kipindi fulani.
Kwa hiyo, kuhesabu siku salama siyo njia salama ya kuepuka kupata mimba. Kwa upande wa wasichana hakuna siku salama kutopata mimba, kwa sababu mzunguko wa siku zao za hedhi unabadilika badilika hata zaidi kuliko ule wa wanawake watu wazima!

Soma%20Zaidi.gif Napendekeza uendelee kusoma kuhusu; Jinsi ya kupika Mkate.

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰Usisahau kushare posti hii kuhusu (Iwapo msichana atajamiiana wakati wa siku salama anaweza kuepuka kupata mimba?).πŸ‘ Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasomeπŸ’―βœ”

Nini maoni yako kuhusu, Iwapo msichana atajamiiana wakati wa siku salama anaweza kuepuka kupata mimba?? Niandikie hapa
Add a New Comment
or Sign in as Wikidot user
(will not be published)
- +

images-10.jpeg

Ujumbe wangu kwako kwa sasa

"Kushindwa jambo sio Makosa, bali kuacha kufanya jambo kabisa ni makosa makubwa."

Slide3-mabestimliopotezana.PNG

.

.

b.gif

Mimi ni Melkisedeck Shine Mmiliki, Mwandishi /Mhariri. Karibu tena kila siku.

MAWASILIANO | KUHUSU MWANDISHI

Blog nyingine maarufu ndani ya AckySHINE.com

| Vichekesho | Videos | Picha | Ujasiriamali | Mahusiano | Kilimo & Mifugo | Katoliki | Afya & Mapishi | Hadithi | Misemo | SMS