Inakuwaje, baadhi ya Albino wana macho yanayochezacheza?

vichekesho-bomba-vya-siku.png

Inakuwaje, baadhi ya Albino wana macho yanayochezacheza?

Wapo baadhi ya Albino wenye macho ya kuchezacheza na
ambayo hayawezi kulenga pamoja. Hii inaitwa “Nystagmus”.
Albino hawezi kudhibiti hali hii. Wakati jicho moja linalenga
mahali lingine huwa linacheza na hii inafanya kuona sawasawa
kuwa kugumu.

Usisahau kushare posti hii!! Share Facebook, Twitter bila kusahau Whatsapp!!

Toa maoni yako kuhusu, Inakuwaje, baadhi ya Albino wana macho yanayochezacheza?. hapa..

Add a New Comment
or Sign in as Wikidot user
(will not be published)
- +
familia-mapenzi-na-mahusiano.png
afya-mapishi-na-lishe.png

Kwa sasa endelea kusoma posti hizi zifuatazo;

familia-mapenzi-na-mahusiano.png
elimu-sayansi-na-tekinolojia.png
vichekesho-bomba-vya-siku.png