Kichekesho%20Kipya Usikose Kitabu cha Mbinu za Kilimo Bora Cha Mboga kwa Tsh 1,000/= tuu!. Kina kurasa 100 na utaalamu wa mazao zaidi ya 10.
<<Bofya hapa Kuoda>> Kizuri

Jinsi ya kuandika na kuhaririJifunze na Fundisha chochote hapa
Karibu ujifunze na kufundisha chochote

Nia yetu ni kusaidia na kurahisishia watumiaji wa Kiswahili kujua mambo mbalimbali na kurahisisha utafutaji na upatikanaji wa mambo mbalimbali kwenye mtandao, tunatamani kuweka mada zote mahali pamoja huku tukiruhusu majadiliano ya mada husika kirahisi.

Tunahitaji ushirikiano wako ili kufikia malengo yetu, kwa hiyo tunakuomba usiache kuandika kuhusu mada yoyote kila unapotembelea tovuti hii ili uweze kuwawezesha watumiaji wa Kiswahili kujua mambo mbalimbali ya aina yoyote kama kijamii, kiuchumi, Sayansi, Tekinolojia, Afya, Maisha na mengine mengi.

Kua mzalendo, andika makala hapaimages?q=tbn:ANd9GcS7nfHdD9hPbIpOHeczQb7GglT79ssHpzdIJOl6X4V70wy6XV9N

Kwa ufupi…
Tovuti hii inakuwezesha;

  • Kujifunza chochote na kufundisha chochote
  • Kusoma kurasa yoyote uliyoandika wewe au mtu mwingine yoyote
  • Kuandika kurasa au mada mpya kuhusu mada yoyote unayoitaka
  • Kuhariri (edit) kurasa yoyote yenye mada yoyote
  • Kujiunga na majadiliano (forum)
  • Kujadili mada uipendayo

Ukitembelea tovuti hii unaweza kuandika chochote na kuhariri/edit chochote katika ukurasa wowote
KUJIFUNZA CHOCHOTE NA KUFUNDISHA CHOCHOTE NA KUSOMA KURASA YOYOTE ULIYOANDIKA WEWE AU MTU MWINGINE YOYOTE

Unaruhusiwa kusoma chochote kilichoandikwa kwenye tovuti hii kuhusu mada yoyote ile na kufundisha kuhusu mada yoyote ile inayoelimisha.

Kwa hiyo, unakaribishwa sana kusoma na kuandika chochote na unasisitizwa sana kila mara unapotembelea tovuti hii usiache kuandika mada yoyote ile unayoipenda. Tunaamini kua kila mtu anajua kuhusu mambo mbalimbali, na anao uwezo wa kufundisha wengine napia kila mtu anaufahamu tofauti, kwahiyo basi, hii ni Nafasi yako wewe ya kuandika kile unachojua kwa kiasi chako na wengine wataongeza pale ulipoishia, Kwa njia hii tutaweza kujua na kuelewa mambo mengi kuhusu mada mbalimbali.

Ili kufikia malengo yetu, tunakuomba na kukushauri wewe uliyebahatika kutembelea tovuti hii Kurudi tena katika tovuti hii kila mara unapoona unaotaka kufundisha kuhusu chochote na kuwa na desturi ya kuandika katika tovuti hii mara nyingi uwezavyo ili uweze kuelimisha uma.

Tunakupa uhuru wote tukiamini unaweza na unajua, sasa basi, ni nafasi yako kuonyesha vile ujuavyo.

Ukipenda unaweza kujitambulisha wakati unaandika au kutojitambulisha na kwa hiyo jina lako halitaonekana kama hutaki ujulikane, ila usivunje sheria. Ukivunja sheria tunaweza kukupata na kukuchukulia hatua.

KUMBUKA
Sio lazima ujiunge (log in) ili uweze kuandika na kuhariri, ila unashauriwa ujiunge ili uwe huru zaidi


KUANDIKA KURASA AU MADA MPYA
Unapotaka kuandika mada mpya unaingiza kichwa cha habari cha mada yako kwenye kaboksi Kalikoandikwa "Ingiza mada yako mpya hapa chini kwenye kaboksi kisha bofya chini yake" . yani chini ya ulipoingiza Kichwa cha mada.

Utapelekwa kwenye ukurasa wa kuandikia kisha utaandika mada yako na unaruhusiwa kuweka picha na unasisitizwa kuweka picha ili watu waelewe zaidi.

Ukishamaliza kuandika bofya Palipoandikwa "Save" kuhifadhi kazi yako.

Utakua umemaliza
Usisahau kutagi ili kurahisisha usomaji na ukitaka watu wajadili kazi yako bofya palipoandikwa 'discus' chini ya kurasa kisha andika post ya kualika majadiliano.


KUHARIRI (EDIT) KURASA YOYOTE YENYE MADA YOYOTE .
Ukitaka kuhariri au kuediti, unabofya palipoandikwa edit chini ya ukurasa unaotaka kuhariri kisha utaendelea Kuongeza kuandika kama unavyoona ni sahii zaidi.

Kujiunga na majadiliano (forum) na Kujadili mada uipendayo
Ingia kwenye forum au majadiliano

Ni matumaini yetu kuwa utashirikiana nasi katika kufundisha uma kuhusu mambo mbalimbali. Tunakukaribisha sana

Ukipata ujumbe huu wajulishe na wengine

ANZA WEWE LEO UWAAMBIE NA WENGINE


Anza kuandika sasa kirahisi kama hivi;

Ingiza kichwa cha habari cha mada yako mpya hapa chini kwenye kaboksi kisha bofya mbele yakeKWENDA KWENYE MAJADILIANO BOFYA HAPAHabari mpyaHabari mpya
Mpya
vichekesho.jpg

Kina kurasa 285 zenye picha na vichekesho 300

Jipatie Kitabu cha Vichekesho Vikuu Vikali 300+ kwa Tsh 1,000/= tuu.
jua%20zaidi%2C%20dont%20delete


Majarida na vitabu kutoka Ackyshine eBook Shop

MBINU-YA-KILIMO-BORA-CHA-MBOGA.jpg

Kina kurasa 100 na utaalamu wa mazao zaidi ya 10

Jipatie Kitabu cha Mbinu za Kilimo Bora Cha Mboga kwa Tsh 1,000/= tuu.
jua%20zaidi%2C%20dont%20delete

vichekesho.jpg

Kina kurasa 285 zenye picha na vichekesho 300

Jipatie Kitabu cha Vichekesho Vikuu Vikali 300+ kwa Tsh 1,000/= tuu.
jua%20zaidi%2C%20dont%20delete

Ackyshine.jpg