Haki za ujinsia na afya ya uzazi zinamhusu pia mtu anayeishi na ualbino?

Mpendwa Msomaji, baada ya kukuandalia makala inayopendwa kuhusu; Mapishi ya Bilinganya, sasa nimekuandalia makala hii kuhusu;

Haki za ujinsia na afya ya uzazi zinamhusu pia mtu anayeishi na ualbino?.

Endelea kefurahia makala nzuri kila siku unapotembelea tovuti hii.

Haki za ujinsia na afya ya uzazi zinamhusu pia mtu anayeishi na ualbino?

By, Melkisedeck Shine.

Haki za msingi; hasa zile zinazohusiana na kuthaminiwa na
kuheshimiwa kama binadamu zinawahusu binadamu wote
kuanzia siku unayozaliwa. Mataifa yote Ulimwenguni yameridhia
mikataba ya Kimataifa inayokubaliana na matamko haya ya
haki. Haki hizi ziko dhahiri katika sheria za nchi husika. Haki
muhimu za ujinsia na afya ya uzazi ni hizi:
• Kupata habari juu ya ujinsia na mada zinazohusu afya ya
uzazi.
• Mwanamke au mwanaume kuamua kwa uhuru na kuwajibika,
kama anataka kujamiiana lini na mtu gani.

• Kuamua idadi ya watoto anaotaka kuzaa na hao watoto
wapishane miaka mingapi.
• Kupata huduma za afya ya uzazi.
• Kuamua bila kulazimishwa nani wa kufunga naye ndoa.
• Kulindwa dhidi ya mila zenye madhara kama vile ukeketaji
wa wanawake.
Watu wote wakiwemo wale wanaoishi na ualbino au ulemavu
wa aina yoyote wanalindwa na haki za binadamu. Changamoto
iliyopo ni kwa wale watu wanaoishi na ualbino kutoa sauti katika
kutetea na kuhamasisha jamii juu ya haki zao.

Unaweza kusoma makala mpya nzuri kila unapotembelea website hii wakati wowote. Baada ya kusoma makala hii kuhusu; Haki za ujinsia na afya ya uzazi zinamhusu pia mtu anayeishi na ualbino?, sasa endelea kusoma makala hizi nyingine nzuri nilizokuandalia;

Usipitwe na Nafasi za kazi kwa leo

<<Bofya HAPA kujua zaidi>>

.

SALAMU-JIONI98HBS.JPG
KUKUTANA-MPENZI-FG94T.JPG